Wakenya acheni hizo, yaani Desemba inaanza SGR fully booked na hata Christmas yenyewe bado mbali

Wakenya acheni hizo, yaani Desemba inaanza SGR fully booked na hata Christmas yenyewe bado mbali

Hivi hiyo sgr ya Kenya ni kwa ajili ya tourism au pia inatumika kama treni ya kawaida na watu wa kawaida siku za kawaida? Kwa maana mimi huisikia holliday season tu.
Mbona kejeli?. Mbona unatoa povu?
 
Fully booked na watu 1260 lol bado sana
Hii ni idadi ya wasafiri wa Tanzania kutoka Arusha kwenda Singida wala Dar na Mwanza sijawaweka

Kenya hamna wasafiri kabisa, nenda pale ubungo bus terminal au bus terminals za miji yote Tanzania kisha hesabu idadi ya mabasi ndio utajua Tanzania watu wanasafiri haswa.
Hio ni treni moja tu inachota watu 1260. Mbona hujauliza treni ngapi zinasafiri kwa siku? Niulize nikupe jibu.
 
Wenye hela zao wengi huja Tz. Utaona magari mob ya plate # zao huku kipindi cha holidays.
Hawa wa JF wengi hakuna kitu.
Mbona una dharau kwa Wakenya wa Jf?
 
And you travel 6-7hrs, Kumbe the thing is that cheap, Ni usafiri wa Watu wa hali ya Chini, Acheni basi kutusumbua na Nyuzi za Kipuuzi.
Na ile standard ticket ya 1k? Train inaenda na 4hrs 30min.

Hizo 7hrs ni ushabiki tu unakusumbua
 
Naton Jr, Beach hata machokoraa huenda, unapoambiwa wakenya katika utalii wa ndani wako vizuri usifikirie ni kuenda beach...

Watu hu book hotels za maana, zile zile za watalii...
Mwezi kufikia tarehe 20, hoteli zote diani, watamu, malindi, kilifi, mombasa, naivasha nk zitakua zimejaa wakenya...

Tena unapoambiwa hoteli tunamaanisha hoteli kweli
 
Hatujui ni mdomo tuu
Kwnza kw hili swala la domestic tourism ndo linamaliza kila kitu kabisa kuhusu vipato...
East africa ukitoa kenya wananchi wengi wa kawaida ni watu kuitegemea serikali kw kila kitu...kw wenzetu mtu akiandikwa kazi na serikali hujiona katusua na ywaheshimika sana kitaani...

Especially tanzania, utawakuta jamaa wanamsifu mwenzao eti kisa ywafanya kazi serikalini...
Mi hucheka sana walai
 
1574335910831.jpg

road trips siku hizi zimekuwa popular Sana.
 
Naton Jr, Beach hata machokoraa huenda, unapoambiwa wakenya katika utalii wa ndani wako vizuri usifikirie ni kuenda beach...

Watu hu book hotels za maana, zile zile za watalii...
Mwezi kufikia tarehe 20, hoteli zote diani, watamu, malindi, kilifi, mombasa, naivasha nk zitakua zimejaa wakenya...

Tena unapoambiwa hoteli tunamaanisha hoteli kweli
LOL kwani Tanzania huwa ni kuku ndio hulala kwenye hizi hotels?
Kuchukua room kwenye hotels nalo ni suala la kujadili kweli?
 
Sielewi labda una maana gani?

Last year nilikua Lake zone, nilikaa Lodge kwa miezi 4 mfululizo na nilikua nakaa kwenye room ya 30k ambayo ina dstv, hot shower, flat screen, simu ya mezani, feni na huduma ya laundry, very clean lodge

Na wala sikua matawi kihivyo ukilinganisha na wengine waliokua wakikaa Lodge za 50k na kuendelea

Hayo mambo mbona ya kawaida sana huku lol
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Naton Jr,
Wenye hela zao wengi huja Tz. Utaona magari mob ya plate # zao huku kipindi cha holidays.
Hawa wa JF wengi hakuna kitu.
LOL wanakimbia Kenya sababu Mombasa imejaa pomoni

Tanzania ukitaka kwenda fukwe za Victoria upande wa Bukoba, Muleba, Geita, Mwanza, Mara ni wewe tu

Utake kwenda fukwe za Tanganyika upande wa Kigoma, Katavi, Rukwa ni wewe tu

Utake kwenda fukwe za Nyasa upande wa Mbeya , Njombe, Ruvuma ni wewe tu

Utake kwenda fukwe za bahari upande wa Lindi, Mtwara, Pwani, Dar, Tanga, Zanzibar ni wewe tu

Yaani Tanzania sehemu za kutembea hazitafutwi kabisa, beaches zipo mpaka nyingine watu hawajawahi hata kufika toka dunia imekuwepo
 
Back
Top Bottom