Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao sio majambazi..walishaivuka hiyo level kitambo..ss km mnawaUnderestimate shaur yenu..Hatuondoi majeshi,Tutapigana na hawa jambaZi
Naona hilo username lako linafaa kabisa kwa utabibu ya maelezo kwa wasiobarikiwa kuelewa chap chap kama mleta mada. Muelezee mTZ mwenzako jinsi KDF walivyoingia kule,historia yake na madhumuni yake. Pole pole ingiza sindano na dawa imuingie huyu sympathiser wa bokoharam. Afu amesahau pia Uganda na Burundi wamo pale. Yeye na ndugu zake wa masharubu ndefu wawache kututeka na kulipiza mabomu kusudi wapate mademu 72 jehenamu.Wewe ni mpuuzi, toa utaahira wako wa Lumumba hapa Pumbavu wewe, Kenya ni taifa huru lenye serikali yake kamili, huna unalolijua pusi wewe, nani kukudanganya kuwa kenya inatumika? unatia hasira Sana kujifanya Unajua mambo mengi wakati ni Zero brain, faizafoxy ni mwislamu mwenyewe itikadi Kali, ndo maana anasapoti topic yako ya kijuha, faizafoxy anawaunga mkono magaidi wote wa, Alqaeda, Boko Haram, ISIS, na alshababu, Kenya ilichokozwa, magaidi ya alshabab walikuwa wanavuka mpaka na kuingia Kenya na kuteka watalii pamoja na mauaji, sasa ulitaka kenya wakae kimya? wameamua kupigana kiume, unainuka mjinga Kama wewe unasema eti Kenya inatumiwa, siyo umekera Sana, unafikiria Kwa mat**ko Badala ya kichwa, shwaini kabisa, watu wakijihami eti wanatumiwa, funga bakuli lako, nenda ukale ugali wa bure Lumumba huna unalolijua wewe hapa, zero brain.
boko haram je?nkt...Ujuaji mwingi akili nusu kijikoal shabab ni project ya pentagon.......
Ngoja waje tena wale mgambo Wa Al shabab wawanyooshe tena ndio mtasikiaHatuondoi majeshi,Tutapigana na hawa jambaZi