bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
wame-claim Entebbe International airport ni local Kisumu Airport!Hapo ikoje MKULU?
wame-claim Entebbe International airport ni local Kisumu Airport!View attachment 830348
Hawana akili, kazi kudanganya danganya na vitakwimu feki.Yaani wanatamani kila kitu kizuri kinachofanyika East Africa ,wao ndio wahusika wake,hawana aibu ya kutoa sifa kwa wenzao waliowazidi kwa lolote lile.View attachment 830303View attachment 830304
Yaani mmeokota upuuzi kutoka mitandaoni alafu mkaigeuza ikawa hoja? Eti WAKENYA blah blah blah. Vyote ni vyetu buana ila umbea tuliwaachia nyie, tena bila presha.
Tunataka. Asilimia ngapi ya wakenya? Imefika asilimia 0.00001? Acheni kupenda umbea.Ahaaa haaa haaa
Kwani aliyeandika hivyo ana LENGO gani?
Mbona sisi hatuandiki VITU vyenu?
Nyie KILA KITU mnataka kiwe chenu.
Majuzi tu mtoto wa Raila naye akaja na Olduvai kuwa iko Kenya.
Duuu ni shidaa. Kweli nimeamini unaweza chagua rafiki hata mke lkn si jirani.
Tunataka. Asilimia ngapi ya wakenya? Imefika asilimia 0.00001? Acheni kupenda umbea.
Hawa jamaa akili hawana, wamekalia ujinga tu. Kupika data, kutengeneza habari feki za maendeleo umbwa kabisa. Watu tunapiga kazi usiku na mchana wenyewe kazi kuiba picha na kuzifanya zao.wame-claim Entebbe International airport ni local Kisumu Airport!View attachment 830348
Aliyeandika taarifa yenyewe ni mzungu, mjerumani. Tena majina yake na picha yake amezibandika hapo chini. Photo contest yenyewe imetayarishwa na wajerumani. Aisee mnakuwaga na stress nyingi sana.Go to that website and see who are people behind THIS.
Aliyeandika taarifa yenyewe ni mzungu, mjerumani. Tena majina yake na picha yake amezibandika hapo chini. Photo contest yenyewe imetayarishwa na wajerumani. Aisee mnakuwaga na stress nyingi sana.
That lady is not Kenyan, shirika ambalo limeandaa hiyo photo contest sio la kikenya. Hukuona hayo kabla ya kuendeleza propaganda zako.Ahaaa haaa haaa
So the lady is a member PAK!!?
Hata Haraka Jeti wameanza kunyenyekea abiria. Heshima imerudi.
Huyo mwanamama nyuma yake kunawakenya jomba nadhani uwajui wakenya vizuriNadhani habari haijaandikwa na Mkenya bali mwanamama wa kijerumani aitwaye UDA labda anataka kuwatapeli wazungu wenzake. Tusiwatupie lawama majirani kwa hili soma habari nzima halafu mwishoni utaona mwandhishi ni nani na ameweka mawasiliano yake. Anayeweza kizungu awasiliane naye ili aseme kwa nini anadanganya dunia? Hajui nchi ya afrika ambayo inapiga kasi ya maendeleo " exponentially ni bongo? kwanini anapotosha hatua tunazopiga ya kwamba zimepigwa na wengine??
Urda Eichhorst - Changing Transport