Wakenya acheni wivu na tamaa.

Wakenya acheni wivu na tamaa.

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Yaani wanatamani kila kitu kizuri kinachofanyika East Africa ,wao ndio wahusika wake,hawana aibu ya kutoa sifa kwa wenzao waliowazidi kwa lolote lile.
IMG_20180808_175050.jpg
IMG_20180808_175047.jpg
 
Ahaaa haaa haaa
Duuu hapo kaka nimechoka.

Kwa NINI wasitumie ile yao ONLY BRT.
 
Wameona mlima Kilimanjaro hautoshi, wamehamia BRT.
 
Yaani mmeokota upuuzi kutoka mitandaoni alafu mkaigeuza ikawa hoja? Eti WAKENYA blah blah blah. Vyote ni vyetu buana ila umbea tuliwaachia nyie, tena bila presha.
 
Kwani aliyeandika hivyo ana LENGO gani?
Mbona sisi hatuandiki VITU vyenu?
Nyie KILA KITU mnataka kiwe chenu.
Majuzi tu mtoto wa Raila naye akaja na Olduvai kuwa iko Kenya.
Duuu ni shidaa. Kweli nimeamini unaweza chagua rafiki hata mke lkn si jirani.
 
Tunataka. Asilimia ngapi ya wakenya? Imefika asilimia 0.00001? Acheni kupenda umbea.
 
Go to that website and see who are people behind THIS.
Aliyeandika taarifa yenyewe ni mzungu, mjerumani. Tena majina yake na picha yake amezibandika hapo chini. Photo contest yenyewe imetayarishwa na wajerumani. Aisee mnakuwaga na stress nyingi sana.
 
So the lady is a member PAK!!?
 
Nadhani habari haijaandikwa na Mkenya bali mwanamama wa kijerumani aitwaye UDA labda anataka kuwatapeli wazungu wenzake. Tusiwatupie lawama majirani kwa hili soma habari nzima halafu mwishoni utaona mwandhishi ni nani na ameweka mawasiliano yake. Anayeweza kizungu awasiliane naye ili aseme kwa nini anadanganya dunia? Hajui nchi ya afrika ambayo inapiga kasi ya maendeleo " exponentially ni bongo? kwanini anapotosha hatua tunazopiga ya kwamba zimepigwa na wengine??
Urda Eichhorst - Changing Transport
 
Huyo mwanamama nyuma yake kunawakenya jomba nadhani uwajui wakenya vizuri
 
Back
Top Bottom