Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
thats not a kenyanππ....unajua watu huko nje huwa wanadhani tanzania ni village ndani ya nchi iitwayo kenya...hamna anayetambua kama kuna nchi iitwayo tz..ndio maana akakosea na kusema BRT ipo Kenya....utaskia wanauliza maswali kama what is a tanznia? is tanzania in west africa? is tanzania a city? hivyo ndivyo mvutano wa mlima kilimanjaro ulivoanza..maranyingi hawa wazungu ukiwaambia wataje majina ya nchi za kiafrika hawawezi wakataja hata nne tu...utaskia egypt, nigeria, South africa Kenya na pengine ghana bas...mengine hayatambuliki... hayajulikani kuwa kama ni nchi au vijijiππ...hivo usimlaumu mwanadada akisema kuwa BRT ipo Kenya maana inaweza kuwa ni miongoni mwa nchi chache tu anazozijua barani afrika...