Wakenya acheni wivu na tamaa.

Wakenya acheni wivu na tamaa.

thats not a kenyan😀😀....unajua watu huko nje huwa wanadhani tanzania ni village ndani ya nchi iitwayo kenya...hamna anayetambua kama kuna nchi iitwayo tz..ndio maana akakosea na kusema BRT ipo Kenya....utaskia wanauliza maswali kama what is a tanznia? is tanzania in west africa? is tanzania a city? hivyo ndivyo mvutano wa mlima kilimanjaro ulivoanza..maranyingi hawa wazungu ukiwaambia wataje majina ya nchi za kiafrika hawawezi wakataja hata nne tu...utaskia egypt, nigeria, South africa Kenya na pengine ghana bas...mengine hayatambuliki... hayajulikani kuwa kama ni nchi au vijiji😛😛...hivo usimlaumu mwanadada akisema kuwa BRT ipo Kenya maana inaweza kuwa ni miongoni mwa nchi chache tu anazozijua barani afrika...
 
Wewe unaongelea zile jamii mbumbumbu "ignorant". Hakuna raia wa dunia hii wa Ulaya au Marekani mwenye utashi wa mambo ya dunia hii asiijue nchi katika Bara la Afrika iitwayo Tanzania.

Ila nyie Wakenya ndio watu wa ajabu mno mnaojua fika kuhusu Tanzania bado mnawalisha hao wazungu mbumbumbu hizo tango pori za Tanzania being a Kenyan pronvice.
 
mi nakwambia sababu nimesomea huko miaka miwili...watu huko nje wanaiona africa kama nchi moja kubwa tu...kwanza hata heri Ug...tz ndio haijulikani hata kidogo...anyway turudi kwenye mada kidogo...that article has not been written by a kenyan...
 
mi nakwambia sababu nimesomea huko miaka miwili...watu huko nje wanaiona africa kama nchi moja kubwa tu...kwanza hata heri Ug...tz ndio haijulikani hata kidogo
Sasa hao watu si ignorants tu kama wengine?wameenda shule wana elimu ila hawajui "mambo".
 
wako ignorant hivyo kule..nimeishi nao nawafaham...nilikuwa nakerwa mara nyingine...si ulimskia jamaa trump akizungumzia nchi iitwayo Nambia😀😀
 
Sasa vipi na nyie mnaolea hiyo "narrative" yao tuwaweke kundi gani?halafu tunajiita wana jumuiya.
 
hahaha nadhani unazungumzia ule mvutano wa mlima kilimanjaro...in that case, some Kenyans (sio wote) usually think that Kilimanjaro was initially supposed to be in Kenya...kuna fununu kuwa malkia Victoria aliwapa mlima huo kama zawadi nyakati za ukoloni.... ila hii ni myth tu...haijulikani kama ni ukweli au la
How Kilimanjaro ended up in Tanzania

Did Queen Victoria yank Mount Kilimanjaro from Kenya?
 
1. That article is not written by a Kenyan.
2. That picture is not claimed to be in Kenya.
3. It is 100% possible that the picture was taken by a member of 'Photographers Association of Kenya'.

4. Bongolala brains are full of porridge.
 
mi nakwambia sababu nimesomea huko miaka miwili...watu huko nje wanaiona africa kama nchi moja kubwa tu...kwanza hata heri Ug...tz ndio haijulikani hata kidogo...anyway turudi kwenye mada kidogo...that article has not been written by a kenyan...

Ulikuwa ulaya ipi na miaka ipi?
 
Back
Top Bottom