Wakenya acheni wivu wa kike

Wakenya acheni wivu wa kike

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2009
Posts
1,068
Reaction score
711
kwamuda mrefu saana,
kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana kwenye mwnanchi Communication
yamekuwa na TABIA ya kutubeza kwa kija lambo tunalofanya.....na kikubwa zaidi kila jambo kubwa la maendeleo linalofanyika hapa nchini.........wamekuwa wakilinganisha na kwao......kila kukichwa na jaribu kujiuliza motives behind.....

Kuna hili swla la Bandari ya Bagamoyo........sasa hivi wameshaanza kuogopa...........itaipita ile ya kwao ya Mombasa......wao walikuwa na mradi wa bandari ya LAMU pamoja na reli itakayoenda mpaka Ethiopia na Kusini mwa Suydan (JUBA) sisi tumekaa kimya wala hatukuubeza huo mradi wao......pia wana mradi mwingine wa bomba la mafuta......kutako Kusini mwa Sudan mpaka lamu...pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta....,...Watanzania tulikaa kimya...............SASA WAO KWANINI WATUFUATE FUATE........nakumbuka waliona Wivu waliposikia UGANDA wanajenga kiwanda cha kusafisha Mafuta....eti wanataka washirikiane...............Hii mijitu..........ni minafiki.......yana wivu...........na kikubwa zaidi.........kwenye huu ukanda.......... wanajiona wanamaendeleo na akili.....

mnaweza jisomea hii taarifa hapa......

..........................Kenya’s status as the region’s logistics hub has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to set up the bloc’s largest port and expand Dar es Salaam’s main airport.

The $11 billion Bagomoyo port will be bigger than the Dar es Salaam and Mombasa ports, tilting the scales of regional trade in favour of Tanzania.

Bagamoyo will have the capacity to handle 20 million containers a year, compared with Mombasa’s installed capacity of 600,000 and Dar es Salaam’s 500,000.

The country has also secured $164.3 million from the Netherlands for the expansion of the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam to ease pressing capacity constraints

....kwa msaada wa .....The East African: Home - Understanding The Region................

Yalivyo na wivu hayakuishia hapo wakagusa na miradi mingine mikubwa inayoendelea ..........................................................READ: Tanzania secures $164m for new airport terminal

Tanzania also plans to construct a railway line linking its coast to the landlocked countries of Uganda, DR Congo, Rwanda and Burundi, which have hitherto used Mombasa-Malaba as the main transport corridor..........READ: Dar to spend $330m on rail upgrade..........Meanwhile, Kenya’s efforts to upgrade facilities at the Jomo Kenyatta International Airport, expand the Mombasa port as well as construct the Lamu port, continue to lag behind schedule. Last month, the government cancelled a tender for the construction of a Ksh1 billion ($12 million) temporary terminal at JKIA. The Kenya Airports Authority is yet to kick off the construction of the planned Ksh55 billion ($647 million) airport facility amid continuing procurement controversy. The status of Mombasa as EAC’s hub has fluctuated wildly over the past few years, with delays in clearance of goods and glaring capacity challenges continuing to hurt regional trade through additional costs.( kwa hisani pia ya The East African: Home - Understanding The Region)

Watanzania tunatakiwa tuamke.......na kupinga kwa nguvu zote...........huu unafiki wa Wakenya.............hawataki wapitwe na chochote kile.......ni vema hata mabidhaa yao tuwasusua kabisa
 
kubezana ni kitu cha kawaida ktk biashara mkuu. Kenya wanajua kabisa kwamba TZ ina resources nyingi kuliko wao, ila wanajua tumelala usingizi wa pono. Sasa wanapoona tunaanza kuamka obviously tunakuwa threat kwao kwani kwa sasa Kenya ndo dorminant kiuchumi ktk ukanda wetu.
 
Mkuu we subiri tujipange tu na hizi rasilimali nyingi tulizonazo ndani ya miaka 10 tu tutawakamata,of course historia inawafeva ndio maana wako mbele kwa kila kitu mpaka ukabila.
 
ningefurahi mtoa mada kama ungekuja hapa jamvini ukiwa umepunguza hasira na heading kidogo ukaipunguzia ukali wake,mie nafurahi sana mpinzani anopo criticize muda wote au kwakila ufanyalo,sababu hofu yake kubwa nikuwa utawala wako kwake unazidi kutamalaki,hakuna mpinza mkubwa kiuchumi wa kenya hapa East Afrika kama Tanzania,nasisi hatutakiwi kulala katika hili nikuwakimbiza mpaka watuachie kijiti cha super power kwa Afrika Mashariki na kati,sijaona kama wakitubeza ila nikanakwamba wanatakakujaribu kucompare kila tuanzishapo mradi mkubwa wakimaendeleo na wanataka kufata nyuma...!1
 
Mkuu we subiri tujipange tu na hizi rasilimali nyingi tulizonazo ndani ya miaka 10 tu tutawakamata,of course historia inawafeva ndio maana wako mbele kwa kila kitu mpaka ukabila.

Kwa mawazo ya kale kama haya yako kweli tusibezwe?

Yaani wewe unaamini historia zaidi ya migodi. Na mpaka uwawekee tungo la miaka 10 ijayo kwani hizi rasilimali ndio kwanza zimefika, si zipo hapa siku zote?

Kwa hiyo baada ya hiyo miaka 10 historia itabadilika au?
 
Wana haki ya kujihami na ushindani wa kibiashara mkuu sio wivu.
 
Whenever I see "wivu wa kike" I cringe.

Regardless what else is said, that term is a signature of the ignorant.
 
Naomba kujua tofauti ya wivu wa kike na wa kiume

kwamuda mrefu saana,
kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana kwenye mwnanchi
Communication
yamekuwa na TABIA ya kutubeza kwa kija lambo tunalofanya.....na kikubwa
zaidi kila jambo kubwa la maendeleo linalofanyika hapa
nchini.........wamekuwa wakilinganisha na kwao......kila kukichwa na
jaribu kujiuliza motives behind.....

Kuna hili swla la Bandari ya Bagamoyo........sasa hivi wameshaanza
kuogopa...........itaipita ile ya kwao ya Mombasa......wao walikuwa na
mradi wa bandari ya LAMU pamoja na reli itakayoenda mpaka Ethiopia na
Kusini mwa Suydan (JUBA) sisi tumekaa kimya wala hatukuubeza huo mradi
wao......pia wana mradi mwingine wa bomba la mafuta......kutako Kusini
mwa Sudan mpaka lamu...pamoja na kiwanda cha kusafisha
mafuta....,...Watanzania tulikaa kimya...............SASA WAO KWANINI
WATUFUATE FUATE........nakumbuka waliona Wivu waliposikia UGANDA
wanajenga kiwanda cha kusafisha Mafuta....eti wanataka
washirikiane...............Hii mijitu..........ni minafiki.......yana
wivu...........na kikubwa zaidi.........kwenye huu ukanda..........
wanajiona wanamaendeleo na akili.....

mnaweza jisomea hii taarifa hapa......

..........................Kenya’s status as the region’s logistics hub
has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to
set up the bloc’s largest port and expand Dar es Salaam’s main airport.

The $11 billion Bagomoyo port will be
bigger than the Dar es Salaam and Mombasa ports, tilting the scales of
regional trade in favour of Tanzania.

Bagamoyo will have the capacity to handle 20 million containers a year,
compared with Mombasa’s installed capacity of 600,000 and Dar es
Salaam’s 500,000.

The country has also secured $164.3 million from the Netherlands for
the expansion of the Julius Nyerere International Airport in Dar es
Salaam to ease pressing capacity constraints

....kwa msaada wa .....The East
African: Home - Understanding The Region
................

Yalivyo na wivu hayakuishia hapo wakagusa na miradi mingine mikubwa
inayoendelea
..........................................................READ:
Tanzania
secures $164m for new airport terminal

Tanzania also plans to construct a
railway line linking its coast to the landlocked countries of Uganda,
DR Congo, Rwanda and Burundi, which have hitherto used Mombasa-Malaba
as the main transport corridor..........READ:
Dar
to spend $330m on rail upgrade
..........Meanwhile, Kenya’s
efforts to upgrade facilities at the Jomo Kenyatta International
Airport, expand the Mombasa port as well as construct the Lamu port,
continue to lag behind schedule. Last month, the government cancelled a
tender for the construction of a Ksh1 billion ($12 million) temporary
terminal at JKIA. The Kenya Airports Authority is yet to kick off the
construction of the planned Ksh55 billion ($647 million) airport
facility amid continuing procurement controversy. The status of Mombasa
as EAC’s hub has fluctuated wildly over the past few years, with delays
in clearance of goods and glaring capacity challenges continuing to
hurt regional trade through additional costs.( kwa hisani pia ya
The East African: Home -
Understanding The Region
)

Watanzania tunatakiwa tuamke.......na kupinga kwa nguvu
zote...........huu unafiki wa Wakenya.............hawataki wapitwe na
chochote kile.......ni vema hata mabidhaa yao tuwasusua kabisa[/QUOTE]
 
Ha ha haaaa. Mkuu unatakiwa ufurahi na si kukasirika na kuonyesha hasira, hii inaonyesha kwamba tunawaburuza kifikra...acha tu-innovate wao wakopi na kupesti,mwisho wa siku yatu itaonekana origino yao feki.
 
kwamuda mrefu saana,
kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana kwenye mwnanchi Communication
yamekuwa na TABIA ya kutubeza kwa kija lambo tunalofanya.....na kikubwa zaidi kila jambo kubwa la maendeleo linalofanyika hapa nchini.........wamekuwa wakilinganisha na kwao......kila kukichwa na jaribu kujiuliza motives behind.....

Mbona kawaida tu. Cha msingi tupige kazi. Napenda ule usemi wa mchoraji mmoja kuwa kama ukisikia sauti inasema ndani yako 'huwezi chora' basi kwa nguvu zote chora nayo itakuwa imenyamazishwa. Basi tupige kazi tuwaprove wrong!

Hakuna haja ya vita ya maneno!

Whenever I see "wivu wa kike" I cringe.

Regardsless what else is said, that term is a signature of the ignorant.

Ohoo!Ngoja nijiondokee maana Banda lishavunjika, jogoo kaondoka. Vifaranga hangaika, kumtoa nyoka.
 
Mtoto hajazaliwa tushaanza kutambia mimba?

Watu wanaotaka ushindani wa dunia ya leo bado wanafikiri rasilimali za maliasili zaidi ya "human capital"?

Kwa masjala na minajili gani? Hii hii inayotupa 3% -4% royalty?

I never understood why Nyerere was not signing these contracts for the longest, for a moment I thought it was the old man's mean streak and abstract/ utopian austere positions.

After seeing the 3%-4% royalties high way robbery, now it makes perfect sense why Mwalimu resisted to be netted by this racket.

Why would anybody who is neither insanely myopic nor criminally greedy fall for that?

And yet some people have the balls to fixate their eyes on "our natural resources". The audacity.

"Our" my foot!

Nitambie kwa kuniambia una produce quality graduates wangapi kwa mwaka, kwa kuniambia una produce patents ngapi kwa mwaka, kwa kuniambia unaproduce research papers ngapi kwa mwaka.

Sio kwa mkopo ambao hata masharti yake huyajui na hujui kama ni another "White Elephant" project by the economic hitmen at the CIIC, we have seen what they have done in Angola, why should we - by we I mean the people of Tanzania- trust them?

Kwa nini tushangilie bandari kubwa ikiwa hatuna uhakika kama tutakuwa na wataalamu wa kutosha kuiendesha?
 
ningefurahi mtoa mada kama ungekuja hapa jamvini ukiwa umepunguza hasira na heading kidogo ukaipunguzia ukali wake,mie nafurahi sana mpinzani anopo criticize muda wote au kwakila ufanyalo,sababu hofu yake kubwa nikuwa utawala wako kwake unazidi kutamalaki,hakuna mpinza mkubwa kiuchumi wa kenya hapa East Afrika kama Tanzania,nasisi hatutakiwi kulala katika hili nikuwakimbiza mpaka watuachie kijiti cha super power kwa Afrika Mashariki na kati,sijaona kama wakitubeza ila nikanakwamba wanatakakujaribu kucompare kila tuanzishapo mradi mkubwa wakimaendeleo na wanataka kufata nyuma...!1

Mkuu ukisoma hizo article zote kwa undani
utaelewa kabisa hawajamaa.......wanawivu........wanaweweseka.....na kikubwa wanatuona hatuwezi chochote...na wao ndio wababe wakila kitu.............ukanda huu mzima wa Africa mashariki

kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo...........jaribu tafuta article za The East African.......zilizoandikwa kipindi kile cha mchakato.........wa kuuza ATC ndio utaelewa kwanini nimetumia lugha kali kidogo......usiishie hapo fuatilia kipindi Mama Zakia alipokuwa waziri wa utalii....aliposhupalia wageni wote wanaotoka Kenya wapitie kwenye mipaka rasmi.....the same magazeti yalireport vipi..........matukio ni mengi.........na kikubwa hawa jamaa.....wanatuzarau............wanaona hatuwezi lolote....ili hali wao ndio kila kitu
 
Whenever I see "wivu wa kike" I cringe.

Regardless what else is said, that term is a signature of the ignorant.

Dear Kiranga
..........thanks for your comment.....kindly can you give me alternative term?.....
 
Mtoto hajazaliwa tushaanza kutambia mimba?

Watu wanaotaka ushindani wa dunia ya leo bado wanafikiri rasilimali za maliasili zaidi ya "human capital"?

Kwa masjala na minajili gani? Hii hii inayotupa 3% -4% royalty?

I never understood why Nyerere was not signing these contracts for the longest, for a moment I thought it was the old man's mean streak and abstract/ utopian austere positions.

After seeing the 3%-4% royalties high way robbery, now it makes perfect sense why Mwalimu resisted to be netted by this racket.

Why would anybody who is neither insanely myopic nor criminally greedy fall for that?

And yet some people have the balls to fixate their eyes on "our natural resources". The audacity.

"Our" my foot!

Nitambie kwa kuniambia una produce quality graduates wangapi kwa mwaka, kwa kuniambia una produce patents ngapi kwa mwaka, kwa kuniambia unaproduce research papers ngapi kwa mwaka.

Sio kwa mkopo ambao hata masharti yake huyajui na hujui kama ni another "White Elephant" project by the economic hitmen at the CIIC, we have seen what they have done in Angola, why should we - by we I mean the people of Tanzania- trust them?

Kwa nini tushangilie bandari kubwa ikiwa hatuna uhakika kama tutakuwa na wataalamu wa kutosha kuiendesha?
Masharti ya Bandari hii bado utata mkubwa lkn watu wanafanya sherehe na kujisifu..Wonders shall never end!!
 
Masharti ya Bandari hii bado utata mkubwa lkn watu wanafanya sherehe na kujisifu..Wonders shall never end!!

........Sidhani kama kuna mwenye akili yoyote anayeweza jivunia........kilichoandikwa ni namna WAKENYA wanavyotubeza kwa kila kitu kinachofanywa hapa Tanzania........na hata kama wewe ni mfuatiliaji wa namna magazeti ya Kenya yanavyoandika kuhusu TZ ungenielewa...juzi juzi kulikuwa na swla la cartoon.....kumbuka gazeti la mwananchi lilipochukuliwa rasmi...na wakenya.......mhariri wake mkuu....alitamka waziwazi kabisa.........magazeti ya kingereza ya TZ yana copy na ku paste.........futatilia jinsiwalivyoandika swala la ardhi na Jumuiya ya EAC...utalii Serengeti....ubinafsishwaji wa ATC....na mengine mengi ndo utanielewa
 
ningefurahi mtoa mada kama ungekuja hapa jamvini ukiwa umepunguza hasira na heading kidogo ukaipunguzia ukali wake,mie nafurahi sana mpinzani anopo criticize muda wote au kwakila ufanyalo,sababu hofu yake kubwa nikuwa utawala wako kwake unazidi kutamalaki,hakuna mpinza mkubwa kiuchumi wa kenya hapa East Afrika kama Tanzania,nasisi hatutakiwi kulala katika hili nikuwakimbiza mpaka watuachie kijiti cha super power kwa Afrika Mashariki na kati,sijaona kama wakitubeza ila nikanakwamba wanatakakujaribu kucompare kila tuanzishapo mradi mkubwa wakimaendeleo na wanataka kufata nyuma...!1

Sibling rivalry tu hiyo. Kenya ni jamaa zetu wa karibu zaidei kuliko mataifa mengi yanayotuzunguka. Uganda tumekuwa na uhusiano wa karibu, lakini binafsi mi naona kama vile kufanana kwetu na Uganda ni distant kuliko Kenya.

Tuwashauri tu wawe wavumilivu na maendeleo yetu, ingawa ni vizuri kuwa vigilant katika ulinzi pia. Wivu ni kitu kibaya sana. Wanaweza wakafanya kitu unexpected kabisa as a result of that wivu.
 
Kule Kenya tuna msemo toka enzi za Uhuru kwamba TANGA YORO YOM....
 
Back
Top Bottom