Wakenya acheni wivu

Wakenya acheni wivu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Shabiki kutoka Nchini Kenya amefunguka kuwa Msanii wa BongoFleva "DiamondPlatnumz" hajui kuimba ambapo amedai kwamba Msanii huyo anabebwa sana na Challenges za Watu.

Huyu mwamba atakuwa na chuki binafsi

Huyu ndio SIMBA LA MASIMBA DANGOTE

FB_IMG_17182973259869971.jpg
 
Shabiki kutoka Nchini Kenya amefunguka kuwa Msanii wa BongoFleva "DiamondPlatnumz" hajui kuimba ambapo amedai kwamba Msanii huyo anabebwa sana na Challenges za Watu.

Huyu mwamba atakuwa na chuki binafsi

Huyu ndio SIMBA LA MASIMBA DANGOTE

View attachment 3016617
Kama wenyewe wanabaguana kwasababu ya kabila,watakupenda mtz,
Kenya nepotism, tribalism and racism iko kwenye damu
 
Back
Top Bottom