Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Shabiki kutoka Nchini Kenya amefunguka kuwa Msanii wa BongoFleva "DiamondPlatnumz" hajui kuimba ambapo amedai kwamba Msanii huyo anabebwa sana na Challenges za Watu.
Huyu mwamba atakuwa na chuki binafsi
Huyu ndio SIMBA LA MASIMBA DANGOTE
Huyu mwamba atakuwa na chuki binafsi
Huyu ndio SIMBA LA MASIMBA DANGOTE