Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Bado hawajasemaComa sava ndio chanzo cha chuki,ngoma inapigwa sana Europe kwenye night club
Kama wenyewe wanabaguana kwasababu ya kabila,watakupenda mtz,Shabiki kutoka Nchini Kenya amefunguka kuwa Msanii wa BongoFleva "DiamondPlatnumz" hajui kuimba ambapo amedai kwamba Msanii huyo anabebwa sana na Challenges za Watu.
Huyu mwamba atakuwa na chuki binafsi
Huyu ndio SIMBA LA MASIMBA DANGOTE
View attachment 3016617