Wakenya bana kwa hiyo kukosa kura ya Tanzania UNSC imekuwa nongwa?

Hakuna maisha bila changamoto,wakati mwingine aina budi kukubaliana na hali halisi,japo sina hakika kama hatujawapigia kura.
Unaweza kuthibitisha ya kwamba hatujawapigia kura?
La. Sina uhakika.
 
Tunachowashangaa ni Kenya kuchanganyikiwa baada ya kusikia Tanzania hatukupigia Kenya, hilo linatushangaza sana. Mbona ninyi mnafanya maamuzi yenu bila kutushirikisha sisi hatuwasemi?
Wanadhan hii n Somalia wanayocontrol some areas.....
 
Uko sawa lakini kama mnatukera hatutajali Hilo nasisi tutawakomoeni Sasa mnavotufanyiaga vitimbwi kuwafurahisha wazungu na dunia c tunapenda! ? Huwa mnasahau kama wote n black
 
Mzee sababu yako inakosa mshiko Somalia na Ethiopia vipi?

Unazingua tu.

Toa sababu moja ya kuiandama Tanzania ukiacha Nchi nyingine hizo za Africa
Wale n wahabesha na wasomali not pure black...jiongezee naww
 
Yaaan mi nakuelewa Sana ....Niko naww kwa upande mmoja....lakini nyie mnavotuchafuaga kuwafurahisha wazungu huwa hamkumbuki kua we are both black!?
 
Kama hauyajui haya kwaheri, naona bado unahitaji darasa.
MK254 na mimi leo nipo pamoja na wewe ila update DP yako kwanza ndio tuendelee na huu mjadala, WB watoa takwimu mpya hivi punde[emoji16]
 
Uko sawa lakini kama mnatukera hatutajali Hilo nasisi tutawakomoeni Sasa mnavotufanyiaga vitimbwi kuwafurahisha wazungu na dunia c tunapenda! ? Huwa mnasahau kama wote n black

Haya mambo huwa hatufanyi kisa tunapendana, ila unaangalia maslahi, yule aliye karibu nawe ndiye unapaswa kumuwaza, mipaka ya Kenya na Tanzania hushuhudia mamia ya malori yakipishana kila siku, maelfu ya raia kutoka pande zote mbili wakipishana kwa ajili ya shughuli mbali mbali za kibiashara, sasa utawafuata waarabu kw maslahi gani kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…