Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi.
=====================

The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is fully booked ahead of Christmas in a move set to force holidaymakers to seek expensive alternatives like road and air travel.

Buses heading to Western Kenya are fully booked ahead of Christmas as Nairobians prepare to travel to their rural homes to celebrate with their loved ones.
 
Ni nchi ya viumbe vya ajabu kila nikiangalia picha ya yule mwamba aliyeshonwa kichwa nachoka kabisa.
IMG-20211116-WA0005.jpg
 
Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi.
=====================

The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is fully booked ahead of Christmas in a move set to force holidaymakers to seek expensive alternatives like road and air travel.

Buses heading to Western Kenya are fully booked ahead of Christmas as Nairobians prepare to travel to their rural homes to celebrate with their loved ones.
Unajivunia ujinga wa ticket kuisha hiyo ni under performance ya mtungi wenu wa gongo. Kama demand ni kubwa ongeza frequency tuu ndio solution. Hiyo hata ceo wa trc alishasrma according to demand tutaongeza frequency hata ikibidi every hour kuwe na train inatoka. Lakini on the other note inaezekana frequency imeongezwa lakini the speed is too low to afford more frequencies or the operation cost is too high to justify more frequencies.
 
Raha sana yaani tunajituma kisha tunakula bata kwa mpigo, sio kama hayo maisha mnaishi miaka yote mnateseka huko sijui Tandale
 
Huo utararibu mmeiga Tanzania na hata hivyo ni hype tu huwezi kuniambia eti hakuna tickets za usafiri wa kwenda Mombasa (ndio sehemu pekee wakenya huenda holidays) kuanzia leo mpaka December

Wenzenu huwa wanajumuika na familia zao ninyi mnajazana Mombasa kwenye maji machafu yaani hamuwezi kurudi makwenu sababu hamna pa kushukia
 
Unajivunia ujinga wa ticket kuisha hiyo ni under performance ya mtungi wenu wa gongo. Kama demand ni kubwa ongeza frequency tuu ndio solution. Hiyo hata ceo wa trc alishasrma according to demand tutaongeza frequency hata ikibidi every hour kuwe na train inatoka. Lakini on the other note inaezekana frequency imeongezwa lakini the speed is too low to afford more frequencies or the operation cost is too high to justify more frequencies.
Na kweli, kingine ni wote kila mji wa naelekea Mombasa tofauti na Tanzania kila mtu anaelekea nyumbani kwao mikoani na Tanzania usafiri wa barabara, anga, treni, maji ni wa uhakika, nchi nzima inafikika vizuri, wao lami za mikoani hakuna, mabus hakuna zaidi ya small vans ndio huita mabus huko.
 
Unasema shaggs jamaa hazifiki? 🤣 🤣 🤣

Jamaa huwa wamesota mitaani, halafu huwa na ujinga wa kuwasuta wenye hela yao wanaosafiri eti kwamba wanakwenda kutambika. Kwao huko jamii moja tu ya Wachagga ndio husafiri, na hiyo ni kwa sababu hao tu ndio wenye desturi ya kujituma kazini kama Wakenya.
 
Na kweli, kingine ni wote kila mji wa naelekea Mombasa tofauti na Tanzania kila mtu anaelekea nyumbani kwao mikoani na Tanzania usafiri wa barabara, anga, treni, maji ni wa uhakika, nchi nzima inafikika vizuri, wao lami za mikoani hakuna, mabus hakuna zaidi ya small vans ndio huita mabus huko.
Kwao kunaendeka mkuu? Waende kwa hela gani huko kwao wakati ndugu wote wanawatizama wao inabidi wawe wachoyo tuu na kutimkia Mombasa. Kenya ukiondoa Nairobi na Mombasa hakuna county itakayoweza kujisimamia au kujiendesha yenyewe.
 
Jamaa huwa wamesota mitaani, halafu huwa na ujinga wa kuwasuta wenye hela yao wanaosafiri eti kwamba wanakwenda kutambika. Kwao huko jamii moja tu ya Wachagga ndio husafiri, na hiyo ni kwa sababu hao tu ndio wenye desturi ya kujituma kazini kama Wakenya.
Alafu update jamaa limetokea Kigoma - 1500km away. Kufika lichukue siku mbili minimum.🤣
 
Kwao kunaendeka mkuu? Waende kwa hela gani huko kwao wakati ndugu wote wanawatizama wao inabidi wawe wachoyo tuu na kutimkia Mombasa. Kenya ukiondoa Nairobi na Mombasa hakuna county itakayoweza kujisimamia au kujiendesha yenyewe.
Nitajie mji moja tu Kenya ambao hauna barabara ya Lami inayouconnect from Nairobi. Tuache hadithi za vijiweni tafadhali.🤣
 
Kwao kunaendeka mkuu? Waende kwa hela gani huko kwao wakati ndugu wote wanawatizama wao inabidi wawe wachoyo tuu na kutimkia Mombasa. Kenya ukiondoa Nairobi na Mombasa hakuna county itakayoweza kujisimamia au kujiendesha yenyewe.
Nairobi yenyewe na Mombasa majority wamevundikwa kwenye huu uozo wa nguruwe

Wanaishi kwenye makopo kama industrial meat

images (7).jpeg
images (6).jpeg
images (2).jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Daah hizo picha hapo juu umepiga kwenye mshono,mmmh hali ni mbaya na hapo ni Nairibi duu
 
Back
Top Bottom