Wakenya bana

Wakenya bana

Helicobacter pylori

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
424
Reaction score
283
Hapa Mkenya anakuelekeza njia ya kufika mahali..

"CHAPA hivi hadi juction then NYONGA left hadi ufikie hiyo mlima UA kabisa hiyo mlima hadi Ukute Mosque.Utaona kichochoro on your right .KATA kabisa hadi ukute mpesa then CHOMA hiyo mteremko mpaka kwa chief.PASUA kwa footpath inapita kwa wheat utakuta kanisa ya Ukombosi ukifika hapo jua umepotea tafuta Watchman.................."

Yani mpaka amalize kukuelekeza Namna ya kumtesa mtu ili akupe taarifa nyeti........
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom