Wakenya Bwaaana:: Hivi hii ni National ID au nini?

IT'S A NATIONAL IDENTIFICATION CARD AS EACH ONE ELSE COULD RESEMBLE. IT LOOKS GOOD.
 
Waache watu na majina yao ya asili, kwa kabila langu kuna watu wanaitwa 'Mburu' ambayo hutamkwa 'Mboro'....na wanatamba freshi tu, tena huona poa wakijitambulisha popote pale, wewe kwa akili na mawazo ya kimahaba mahaba ndiye utaona aibu sio wao.
Wakati Kiswahili kilibuniwa, kilikuta watu wanatumia lugha zao za asili, hatuwezi kubadilisha majina yetu kisa lugha iliyotukuta.
 
Dar es Salaam kuna streets zinaitwa "Mkunduni street"
Ni mtaa wa mkunguni siyo ulivyoandika, upo kariakoo mkabala na mtaa wa Africa, unaanzia hapo mpaka Msimbazi.

Mkungu ni aina ya mti.
 
lugha za asili zina tofauti nyingi si Kenya tu.Nina ufahamu kuna mji ulaya unaitwa fucking.pia humu Kenya tuna kama vile mbooni kakuma dunga unused ni hali ya kawaida tu.
 
Dar es Salaam kuna streets zinaitwa "Mkunduni street" na nyingine inaitwa " Bibi Titi street"

Hiyo itakuwa ni Dar es Salaam ya kwenu. Hii ninayoifahamu mimi haina mtaa unaoitwa mkunduni bali ni Mkunguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…