Wakenya Bwaaana:: Hivi hii ni National ID au nini?

Wakenya Bwaaana:: Hivi hii ni National ID au nini?

Nimekumbuka mwaka 2002 kombe la dunia kuna mchezaji alikuwa ana itwa mboo mpenza mtangazaji akasema mboo ndani ya Kumamoto
 
Mpaka sasa hivi hajajibu
Unataka ajibiwe kwanini? Si ukiona jitu linajiita "Mkwepa Kodi" na wewe unaishi mtaa wa kuvutia sana si wewe utamkwepa pia? "Mkwepa Kodi" ni dalili mtu anaishi slums na ana umaskini wa akili na wa kifedha.
 
Tanzania kwanza mna vitambulisho..manake naona juzi juzi tu hapa mnapelekwa mbio
 
Unataka ajibiwe kwanini? Si ukiona jitu linajiita "Mkwepa Kodi" na wewe unaishi mtaa wa kuvutia sana si wewe utamkwepa pia? "Mkwepa Kodi" ni dalili mtu anaishi slums na ana umaskini wa akili na wa kifedha.

Ulipoandika SLUMS nkakumbuka tamthilia ya KIKENYA inaitwa THIS TIME TOMORROW!!!!

Hivi naweza kupata kitabu cha LWANDA MAGERE?!?
 
Back
Top Bottom