Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wapuuzi sana wakati walishazuiliwa na kujaziwa mafuta ndege ili igeuze wanasiasa wakajifanya wao ni bora zaidi kuliko corona wakatoa oda washuke sasa tusubiri na sisi hapo namangaNdege imetoka China na abilia woote wameshuka na kuingia nchini kila mtu akielekea sehemu iliyomleta ndani ya Kenya. Alafu baadaye serikali inatangaza kufuatilia kwa karibu abiria woote walioingia Kenya kwa ndege hiyo. Sasa la kujiuliza ni kama watakuwa na virus vya Corona si watakuwa wameishaambukiza raia? Kwanini hawakuwatenga (quarantine) kabla ya kuwaruhusu! This is Africa!
Mi mwenyewe nilishangaa yaani ujipige nyundo kumi na nne mwenyewe wakati una mitikasi nyingi za kufanya mjini yaani ni kitu ambacho hakiwezekani.....Lol waliwaambia kila abiria ajiweke kwenye quarantine yake binafsi, wasitoke nje mpaka baada ya kujihisi fresh siku 14[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani Kuna viongozi wengine ni vituko kweli
hata hao wachina lazima wamepigwa na butwaa
Lol waliwaambia kila abiria ajiweke kwenye quarantine yake binafsi, wasitoke nje mpaka baada ya kujihisi fresh siku 14ππππ
Yaani Kuna viongozi wengine ni vituko kweli
hata hao wachina lazima wamepigwa na butwaa
hata hao wachina wamepigwa na butwaa
π π π π πkufuatilia kwa karibu abiria wote walioingia Kenya kwa ndege hiyo.
Wewe sema Wakenya wanachekesha, hata hujui hao Wachina wapo wapi saa hizi, huenda wapo Arusha au Serengeti wanaangalia wanyama? Tatizo likifika Kenya there's no way Tanzania tunaweza kujidanganya tuko salama, kwa kuwa Kenya ni lango la Afrika mashariki...Ndege imetoka China na abiria wote wameshuka na kuingia nchini kila mtu akielekea sehemu iliyomleta ndani ya Kenya.
Halafu baadaye serikali inatangaza kufuatilia kwa karibu abiria wote walioingia Kenya kwa ndege hiyo.
Sasa la kujiuliza ni kama watakuwa na virus vya Corona si watakuwa wameishaambukiza raia?
Kwanini hawakuwatenga (quarantine) kabla ya kuwaruhusu! This is Africa!