Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ndege imetoka China na abiria wote wameshuka na kuingia nchini kila mtu akielekea sehemu iliyomleta ndani ya Kenya.
Halafu baadaye serikali inatangaza kufuatilia kwa karibu abiria wote walioingia Kenya kwa ndege hiyo.
Sasa la kujiuliza ni kama watakuwa na virus vya Corona si watakuwa wameishaambukiza raia?
Kwanini hawakuwatenga (quarantine) kabla ya kuwaruhusu! This is Africa!