Wakenya hawana sifa na hawaaminiki kuendesha Safari com

Kenya kwa skendo duh
 

Ujinga
 
Rushwa bado ipo kwenu acha upyoro wewe
 
Ngoja nikaiongoze safaricom yaani mamilioni ya wakenya ata mmoja kakosa elimu hipo duni sana
 
Nyani haoni kundule .Kama unajiona nyie ndio wenye uwezo kila kitu mbona Kenya imepiga hatua kubwa kulioko Tz karibu kwa kila kitu ? Mbona Air Tanzania ilifanya vibaya sana hadi kufa?Mbona ujamaa wenu ulileta maisha mbaya sana hadi ukafa?
Nani kakwambia ujamaa umekufa, ATCL ishafufuka, under Tanzanian, we shall see this time, i know you wish us to fail. Wont happen this time.
 
Aaaaaaweeeee!!!!..mambo ya denial ni ya kwenu...hata link pia ukitaka nitakuletea...

Anyway..hatuja mpata na tumekosa naona kitu kimoja sai...[emoji122][emoji122][emoji122]
Kama kawaida yenu "denial", hata mkiambiwa watu wenu wanakufa kwa njaa, serikali yenu inapinga, mkiambiwa Kenya mna ukabila pia mnapinga, soma " Title " ya hiyo video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…