The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)
Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)
Laurent Kabila (Former president DRC)
Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)
John Garang (Former vice president of Sudan)
Donald Kaberuka (Former president of AfDB)
Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)
Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.
Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
Naomba watuambie ni watu gani mashuhuri wamepitia kwao mana huwa wanapiga kelele nyiingii kuhusu elimu wkt sisi ndiyo baba lao la kuzalisha watu wenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakunya wanendelee na maneno mengi, ila watajua hawajui
Huyu churchillErick Omondi.
Kwakweli huwezi kuwaona Wakenya kwenye huu uzi kwasababu huwa wanapenda kuongea ongea lakini linapokuja jambo la on ground wanapoteana [emoji23][emoji23]Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)
Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)
Laurent Kabila (Former president DRC)
Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)
John Garang (Former vice president of Sudan)
Donald Kaberuka (Former president of AfDB)
Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)
Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.
Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
Wamekuja UDSM kusomea nn?Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)
Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)
Laurent Kabila (Former president DRC)
Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)
John Garang (Former vice president of Sudan)
Donald Kaberuka (Former president of AfDB)
Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)
Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.
Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
Waje hapa waache ufala wa kusema oohh elimu yao kubwa sijui imekuwa ranked na nani sijui blah blah kibao, watuambie wamezalisha kina nani mana ubora wa industry tunaangalia products zake zinafanya nn sokoni.Kwakweli huwezi kuwaona Wakenya kwenye huu uzi kwasababu huwa wanapenda kuongea ongea lakini linapokuja jambo la on ground wanapoteana [emoji23][emoji23]
Make Google your friend, nmekuwekea hapo jina lake so ni kazi yako ku search ili kujua wamesomea nn na kitu gn kiliwatoa huko kwao kuja kusoma Tanzania.Wamekuja UDSM kusomea nn?
Tuambie education yenu imezalisha kina nani toka nje ya Kenya?Zilizopendwa, enzi hizi wanaopitia humo ndio wale wa kupanda ndege kwa mbwembwe nyingi wakalete kikombe cha babu wa Madagascar na kufunga 'mashine' za kupiga nyungu hadi kwenye hospitali.
Eti kitu kilichowatoa[emoji2960]Make Google your friend, nmekuwekea hapo jina lake so ni kazi yako ku search ili kujua wamesomea nn na kitu gn kiliwatoa huko kwao kuja kusoma Tanzania.
Hehehehee unauliza miaka gn unadhani kuwa mashuhuri ni km kubebesha empty containers juu ya diesel sgr?[emoji3][emoji3] It takes many years, pia baada ya hao tegemea wengine wengi miaka 30 ijayo.Eti kitu kilichowatoa[emoji2960]
We umeleta mada inatakiwa uichakatue tuielewe vizuri..
Alafu ni miaka gani hyo
Kuzalisha tena[emoji848][emoji848]Tuambie education yenu imezalisha kina nani toka nje ya Kenya?
UON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..Hehehehee unauliza miaka gn unadhani kuwa mashuhuri ni km kubebesha empty containers juu ya diesel sgr?[emoji3][emoji3] It takes many years, pia baada ya hao tegemea wengine wengi miaka 30 ijayo.