Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

Ooh mara orodha ya vyuo bora waeke ila naona graduate wao wengi ndo wanasukuma mchakato wa covid-19 na BBI hakuna jingine wanajua. Hawa jamaa ni hamnazo kabsa hahhaha
Naomba watuambie ni watu gani mashuhuri wamepitia kwao mana huwa wanapiga kelele nyiingii kuhusu elimu wkt sisi ndiyo baba lao la kuzalisha watu wenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuzalisha tena[emoji848][emoji848]
Kwan hao walisomea tz tokea la kwanza, wote hao hata chuo sidhani km walianzia UDSM, hao walikua tayari wana misingi bora tokea makwao..
Hapo UDSM walipitia kn vile wasafiri tu
Swali ni je kwnn walikuja kuongeza maarifa Tz na si Kenya [emoji848]
 
Km watu wanakumbuka wakati wa african cup kulikua na kipindi cha mpira kila nchi walikua wanakuja ku represent..

Kenya kw ujumla sio ya mchezo katika elimu, tunaaminika sana hata km kuna wengine bado wanajitoa ufahamu
 
UON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..
Alafu be specific unaposema UON unamaanisha nini mana nme Google nmekuta majibu mengi, ila nilipo Google UDSM ikaja hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji90]
Screenshot_20210317-194135.jpg
Screenshot_20210317-194118.jpg
 
Acha utopolo taja watu mashuhuri waliosoma kwenye vyuo vyenu vya Kunyaland.
Wanawatafuta kwa tochi na hawawaoni au basi watutajie viongozi wa Tanzania waliopata ku graduate Kenya Mana mm nmewawekea Jaji wao mkuu wa zamani Willy Mutunga ni graduate wa UDSM[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pia ni graduate wa UON[emoji1787]
 
Walikuja kuongeza maarifa tena[emoji2960]
We unakijua kilichowapeleka UDSM?
Tena 80s mazee,
Huwa mnasema Watz wengi wanakuja Kenya kusoma, ss tunaomba mtutajie ni kina nani hao kama wapo tuwajue kwamba wamegraduate Kenya, mm naanza na huyu hapa mkenya aliye graduate pale UDSM na akaja kuwafundisha sheria huko kwenu, anaitwa Willy Mutunga.
 
Acha utopolo taja watu mashuhuri waliosoma kwenye vyuo vyenu vya Kunyaland.
Km UDSM ni iko vizuri, tutajieni watz waliosomea hapo tuwalinganishe na walenya waliosomea UON..
Nyie mnatuletea list za watu walioanzia kwngine na hko kuja kuongezea tu[emoji2960]

Nyumba ni msingi mzee baba..
Tuonyeshe watz wa UDSM tuwaone
 
Back
Top Bottom