Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

Hahahahaaa, mwingineeeeee, natumai leo itakuwa mwisho wa Wakenya kujisifu kuhusu ubora wa elimu baina ya hizi nchi mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutajie misingi yenu ya elimu basi na mi pia nikuwekee wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Emu nitajie professor mmoja basi tumuweke mezani na wa kenya..

Si hapa tunaongelea misingi ya elimu, hasira za nn sasa
 
Keshakimbia huyo mwehu, Wakenya wenzie wamekausha yeye ndiye anajifanya mwehu kutaka kushindana na baba wa EA.
Wakaushe kw misingi gani ya elimu mliyonayo[emoji1787][emoji1787]
Tuonyesheni elimu yenu imetoa watu wa aina gani hapo bongo..

Jamaa wamewapuuza eti nyie mnafikiria wamekimbia..
M nko nko sana jomba, leo hutoki nawasubiria ma profesa wenu leo
 
Siwaoni Wakenya mada chungu kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
komora096 usikimbie tafadhali [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji2781][emoji3545][emoji3545]
 
Walikuwa hawajui km Mkenya wa kwanza kwenda kuwafundisha sheria kwao aliandaliwa Tanzania.
Jamaa eti kaandaliwa UDSM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia education level ya huyi mzee, msingi kenya..chezea elimu yetu wewe

Km hujui kitu tulia jamani acha kuruka ruka jamani[emoji2960]
 
Jamaa eti kaandaliwa UDSM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia education level ya huyi mzee, msingi kenya..chezea elimu yetu wewe

Km hujui kitu tulia jamani acha kuruka ruka jamani[emoji2960]View attachment 1728212
Hehehehehe huna haya unaleta source from wikipedia alafu unaziba juu isionekane km ni wikipedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…