Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Mmeuza nchi ndugu, wachina waanza kuja kutembelea koloni lao tarajiwa jiandae kuanza kumtmikia mchina siku za usoniAti unasema niniwe
Asee hawa jamaa wajiuza bila kujua, mchina nae alivyokuwa mnafiki kawapakia mikopo kirahisi hadi imekuwq mzigo kwa waKenya, saivi wanaanza kuzagaa humo kwao....wakenya wengi wameathiriwa sana na changaa,mirungi na na bange.Kama kuna mtu anabisha akatazame macho ya rais wao
Uwivuuuu unatusumbua watanzania sana. Sisi tulikuwa na bahati hii ya kuwa karibu na wachina toka 1961 huko ila hakuna cha maana tulichokifanya zaidi ya reli na viawabda vilivyotushinda pia kuviendesha.Wachina wanaongoza kwa kutembelea nchi ya Kenya kuliko nchi nyingine.
Kunani ndugu zetu....? Tukilinganisha na madeni makubwa wanayowadai hizi ni dalili za wazi kabisa kuwa hwa jamaa wameanza kuitembelea koloni lao. Mida sio mrefu wataanza kulimiliki
Poleni sana ndugu zetu.
View attachment 1085687
Uhusiano wetu na china miaka yote ni sababu ya kutumia mfumo mmoja wa maisha usoshalizim.china ni taifa masikini mpaka mwishoni mwa mwaka miaka ya tisini.Uwivuuuu unatusumbua watanzania sana. Sisi tulikuwa na bahati hii ya kuwa karibu na wachina toka 1961 huko ila hakuna cha maana tulichokifanya zaidi ya reli na viawabda vilivyotushinda pia kuviendesha.
Leo ni zamu ya wenzetu ndio tutajua ujinga wetu.
Gap mtapanua sana, mkija stuka shimo limekuwa inelastic.Wivu manze unawaumbua sana ndugu zetu wa kusini, mara wazungu mabwana wetu, mara madeni mara wachina ni mabwana wetu ilhali gap inazidi kupanuka.
Duu jina lako noma.[emoji87][emoji87]Ati unasema niniwe
Kwani ni shimo gani unaongea kuhusu?Gap mtapanua sana, mkija stuka shimo limekuwa inelastic.
Mchina ambaye anaingia Kenya na kibali cha utalii hawezi Fanya biashara yoyote...Mkuu hao sio watalii chunguza vizuri, hao ni watu wenye malengo na maslahi binafsi na nchi yenu...., ukilinganisha na jinsi mlivyowaingia kichwakichwa kazi mnayoo walahi