Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
We' Maria bado hujabalehe❓wakenya wengi wameathiriwa sana na changaa,mirungi na na bange.Kama kuna mtu anabisha akatazame macho ya rais wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We' Maria bado hujabalehe❓wakenya wengi wameathiriwa sana na changaa,mirungi na na bange.Kama kuna mtu anabisha akatazame macho ya rais wao
Hawa wanafik wa Tz huwa wanaona kibaya kwa kila milestone Kenya inayotimiza.Sasa vile Nairobi ilivyo na foreigners wengi sana kutoka kila bara duniani watasema ni njama za hizo nchi zaidi ya mia moja kuichukua Kenya kikoloni.Ukipeleka watu hao wote wawekezaji binafsi,foreign students, makampuni za MNC na Umoja wa Mataifa huko Dar hawa wanafik waTzed watabadili lugha tena aka your now sour grapes will be called sweet juicy grapes. Wanafik roho mbaya Tzed kweli.Ingekua ni watalii wa Kichina wanaongezeka Tz tungeambiwa ni kwasababu ya uhusiano mzuri wa Ku historia Kati ya China na Tz, lakini wakija Kenya kutembea , wakuja tembelea koloni Lao. Jameni punguzeni wivu .. mchina akikuja kutembelea vivutio vya utalii amejileta mwenyewe na kujilipia tiketi na familia yake kutumia mshahara wake , hii NI kutokana na campeni ya KTB ambayo imekita kule Asia na middle East inatumia ma millioni ya pesa Ku campaign watalii wa huko waje huku ili Tu diversify soko letu la utalii manake tukitegemea watalii wa nchi za magharibi pekee tutaumia manake jamaa hua wana issue travel advisory warnings mpya kila mwezi. Hata watalii wa nchi za Uarabuni wameongezeka Sana siku hizi kwahivyo kampeni ya kuvutia watalii kutoka masoko mapya inafanya kazi... Hii ndo maana KTB inashikilia tuzo la "Best Tourism board in Africa" Kwa miaka SITA mfululizo!!!! kulingana na WTA.