Ingekua ni watalii wa Kichina wanaongezeka Tz tungeambiwa ni kwasababu ya uhusiano mzuri wa Ku historia Kati ya China na Tz, lakini wakija Kenya kutembea , wakuja tembelea koloni Lao. Jameni punguzeni wivu .. mchina akikuja kutembelea vivutio vya utalii amejileta mwenyewe na kujilipia tiketi na familia yake kutumia mshahara wake , hii NI kutokana na campeni ya KTB ambayo imekita kule Asia na middle East inatumia ma millioni ya pesa Ku campaign watalii wa huko waje huku ili Tu diversify soko letu la utalii manake tukitegemea watalii wa nchi za magharibi pekee tutaumia manake jamaa hua wana issue travel advisory warnings mpya kila mwezi. Hata watalii wa nchi za Uarabuni wameongezeka Sana siku hizi kwahivyo kampeni ya kuvutia watalii kutoka masoko mapya inafanya kazi... Hii ndo maana KTB inashikilia tuzo la "Best Tourism board in Africa" Kwa miaka SITA mfululizo!!!! kulingana na WTA.