Ndiyo maana wanaitwa nyang'au!!Wenzetu wamekuwa wakipokea dozi za kichina kwa muda wote kuanzia ujenzi unaanza mpaka forever
View attachment 866403
Unaambiwa wanachapwa kama mandezi mchina mmoja tu anatosha kabisa kuwashughulikia ipasavyo idadi yoyote ya njemba za kikenya na somo likaeleweka barabara View attachment 866404