Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini??

Jimena

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
25,935
Reaction score
96,056
Imekuwa ni kama tabia kwa vijana wezi wa Mombasa hususa ni maeneo ya kisauni kuwanyanyasa kijinsia wanawake baada ya jaribio la kuwaibia kushindikana kutokana na wanawake hao kutembea bila pesa au kutokuwa na vitu vya thamani.
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya mombasa
 
ama kweli dunia ina mambo na vijimambo vyake!
 
Ha ha ha.. Kweli kenya kuna mambo ya kipuuz.. Waizi wananyonya maziwa, bado kuwashika masaburi na kupiga mambo yao
 
Wakenya walitakiwa waishi somalia, wana roho mbaya sana...wanyonye ya wapenzi wao bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…