Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini??

Hivi huko kisauni hakuna polisi? afu sidhani kama hao watakua ni majambazi kweli, watakua vibaka tu
Wapo
Ila mi naona kama police wa Kenya ni wazembe tu ndio maana tabia hii inazidi kukua
 
Hii ni hatari na kosa kubwa, ila mleta mada naona kama unapata raha sana kwa hili. Mbona unahemuka hivyo, matatizo ya aina hii ya kichizi ni jambo hutendeka sana Afrika na hata Bongo.
Juzi tuliona taarifa kuhusu wanaume wanaowachafua wanawake kwenye mabasi ya mwendo kasi, wanawadunga dunga na vifaa vyao hadi wanawamwagia shahawa. Tabia za kisenge sana hizo, ama wewe hapo huoni kama mbovu pia, kama mwanamke huoni utakua unakosewa heshima wakati jitu linakung'eng'ania kwenye daladala halafu linakumwagia shahawa kwenye mavazi.

Tukemee maovu lakini tuache kuweka kama ligi vile, maana kila kona kwenye nchi zetu hizi kumejaa vibaka vya kila aina ambao ni chukizo.
 

Hii sasa panic mkuu
Mbona badala ya kushauri jinsi ya kutatua tatizo umekuja na lawama kana kwamba mi ndio nimewatuma hao vibaka wa kisauni wafanye hivyo??
Sasa kabla hujaongelea kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mabus ya mwendo kasi ni vizuri kama ungejaribu kuangalia Likoni, wanaume wa Kenya wanachowafanya wanawake ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa, wamesababisha mpaka wanawake waombe kupatiwa kivuko cha peke yao
 

Ndio maana nikaanza na kukiri kwamba ni tatizo na aibu kubwa kwa wanaume kwetu kulifanya hilo tendo, lakini pia nikalalamika kwa jinsi unatiririka kiunafiki kama kwamba unapata raha sana. Matatizo ya vibaka yapo kote na yakemewe bila unafiki au ushabiki.
 
Sasa wewe kama umeshajua kuwa hilo ni tatizo acha kupoteza muda,
Kaa ufikiri namna ya kutatua tatizo na fedheha hiyo, Kunipangia namna ya kufikisha ujumbe kwa Jamii haiwezi kusaidia kuondoa hao vibaka kisauni
 
Sasa m254 mbona kama unatetea vitendo hivyo vya kishetan? Unatakiwa ukanushe au ulaan. Huwezi kusema "hii tamu lakini chungu".[emoji3]
 
sidhani kama anapata raha kwa hii habari, ila itakuwa imemuuzunisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…