Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Duniani kuna raha na karaha nyingi sanaNi hiyo tu, hutakiwi kupata shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani kuna raha na karaha nyingi sanaNi hiyo tu, hutakiwi kupata shida
Hivi huko kisauni hakuna polisi? afu sidhani kama hao watakua ni majambazi kweli, watakua vibaka tuWamekosa utu kabisa hawa ndugu zetu
Bora tufanye hivyo. Viwatu vyenyewe ni vidogo vinatakiwa kudhibitiwa mapemaNi unyanyasaji mkubwa sana wa kijinsia kwa wanawake halafu police wako kimya kabisa,
labda tumtag Uhuru ili aingilie kati
Hii ni hatari na kosa kubwa, ila mleta mada naona kama unapata raha sana kwa hili. Mbona unahemuka hivyo, matatizo ya aina hii ya kichizi ni jambo hutendeka sana Afrika na hata Bongo.
Juzi tuliona taarifa kuhusu wanaume wanaowachafua wanawake kwenye mabasi ya mwendo kasi, wanawadunga dunga na vifaa vyao hadi wanawamwagia shahawa. Tabia za kise*** sana hizo, ama wewe hapo huoni kama mbovu pia, kama mwanamke huoni utakua unakosewa heshima wakati jitu linakung'eng'ania kwenye daladala halafu linakumwagia shahawa kwenye mavazi.
Tukemee maovu lakini tuache kuweka kama ligi vile, maana kila kona kwenye nchi zetu hizi kumejaa vibaka vya kila aina ambao ni chukizo.
Hii sasa panic mkuu
Mbona badala ya kushauri jinsi ya kutatua tatizo umekuja na lawama kana kwamba mi ndio nimewatuma hao vibaka wa kisauni wafanye hivyo??
Sasa kabla hujaongelea kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mabus ya mwendo kasi ni vizuri kama ungejaribu kuangalia Likoni, wanaume wa Kenya wanachowafanya wanawake ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa, wamesababisha mpaka wanawake waombe kupatiwa kivuko cha peke yao
Sasa wewe kama umeshajua kuwa hilo ni tatizo acha kupoteza muda,Ndio maana nikaanza na kukiri kwamba ni tatizo na aibu kubwa kwa wanaume kwetu kulifanya hilo tendo, lakini pia nikalalamika kwa jinsi unatiririka kiunafiki kama kwamba unapata raha sana. Matatizo ya vibaka yapo kote na yakemewe bila unafiki au ushabiki.
sidhani kama anapata raha kwa hii habari, ila itakuwa imemuuzunisha sana...Ndio maana nikaanza na kukiri kwamba ni tatizo na aibu kubwa kwa wanaume kwetu kulifanya hilo tendo, lakini pia nikalalamika kwa jinsi unatiririka kiunafiki kama kwamba unapata raha sana. Matatizo ya vibaka yapo kote na yakemewe bila unafiki au ushabiki.
hahahaaaa....Kwani hata wanasikia sasa[emoji134] [emoji134]