Wakenya huzungumza Lugha ipi kwa ufasaha??

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Jaribu kupitia baadhi ya maneno yaliyo andikwa na hawa ndugu zetu kwenye picha hapa chini sasa hawa ndugu zetu kiingereza nacho shida tuu kiswahili ndo usiseme kabisa ni janga sugu la wazawa... Na bado hawapo proud na lugha zao za kimila yereeeewiiiii
1473335423517.jpg
1473335476704.jpg
1473335517614.jpg
1473335530029.jpg
1473335568599.jpg
 
Attachments

  • 1473335437001.jpg
    1473335437001.jpg
    33.1 KB · Views: 80
  • 1473335507743.jpg
    1473335507743.jpg
    26.6 KB · Views: 63
Mimi nawapongeza.Kila mkenya anaweza kujieleza kwa Kiswahili,Kiingereza na eidha Kiluo,Kikuyu akaeleweka vizuri.
Tz unakuta mtu kiswahili anajua kwa 50% Kiingereza 1% na lugha ya mama 45%
 
Ok, mi naamini Watz tuko vizuri kwa Kiswahili na Kiingereza hususan sarufi kama huamini tupimwe kwa kufanya mitihani, Wakenya hawaoni ndani. Lakini cha kushangaza Watz hatujiamini, ndo maana unakuta walimu wa Lugha ya Kiswahili wanaofundisha nje ya nchi zikiwemo Rwanda nk ni Wakenya.
Hivyo hakuna haja ya kuwacheka Wakenya bali tijicheke wenyewe kwa kutochangamkia fursa kwa kutumia rasilimali tulizonazo.
 
Mitihani imeshafanywa na shirika la "Twaweza". Miaka yote wanafunzi na pia waalimu wa Kenya wanawazidi wenzao wa Tanzania kwa kiingereza, hesabu na hata kiswahili.
 
Kenyans can speak Corruption and Tribalism like no other state in Africa.
says the guy who comes from one of the wealthiest land in Africa, yet they are listed amongst the least developed nations in the world lumped together with countries that have never seen peace since the exit of the colonial rulers. entrenched laziness, lethargy and an inferior complex will destroy that beautiful nation
 
Truly it breaks my heart to be in the same boat with Kenya. The country whose chief Justice and President explicitly acknowledged the vicious banditry rooted deep in their genealogy.
 
Hiyo nchi haieleweki ni yenye kutumia lugha gani ........kwenye mitaa ya walalahoi na watu wenye maisha ya kati ni kiswahili kibovu na kiswaglish,ukanda wa pwani ni kiswahili kile laini na kitamu mno. Kwenye maofisini na shughuli za kiserikali ni kiingereza.
 
says the guy who comes from one of the wealthiest land in Africa, yet they are listed amongst the least developed nations in the world lumped together with countries that have never seen peace since the exit of the colonial rulers. entrenched laziness, lethargy and an inferior complex will destroy that beautiful nation

perfect response.
 
Hiyo nchi haieleweki ni yenye kutumia lugha gani ........kwenye mitaa ya walalahoi na watu wenye maisha ya kati ni kiswahili kibovu na kiswaglish,ukanda wa pwani ni kiswahili kile laini na kitamu mno. Kwenye maofisini na shughuli za kiserikali ni kiingereza.

congrats!! you cracked the answer! What a genius you are. hehehe y'all talk as if Kiswahili pays your bills and keeps you alive. Stupid danganyikans!
 
on behalf of all Kenyans let me take this opportunity to say sorry for whatever we did to make y'all (Danganyikans) think we give a s.h.i.t about your love relationship with Kiswahili.
 
congrats!! you cracked the answer! What a genius you are. hehehe y'all talk as if Kiswahili pays your bills and keeps you alive. Stupid danganyikans!
We jamaa wa wapi .........limeulizwa swali nami nimemjibu vile ninavyojua,sasa ni juu yako kuyakubali majibu yangu au kuyaacha. Hayo mambo ya mimi kuongea kiswahili kama ndio kinalipa bili zangu hayahusiani na hoja iliopo.
 
boss i cannot glorify or show respect to an answer given to a redundantly ridiculous question as the topic above. sorry but i'm not sorry.
 
Juzi kati nilipita kariakoo duka la kuuza vipodozi kimeandikwa SOUP 500 each mbona tanzani wanaita vitu kwakutumia brand yao kama, petrol station (SHELI) Generator HONDA, roundabouts KEEPLEFTI, Self contained, SELF CONTAINER, subiri nije SUBILI NIJE, mambo kibaooooooo!!
 
boss i cannot glorify or show respect to an answer given to a redundantly ridiculous question as the topic above. sorry but i'm not sorry.
Swali sio la kipuuzi,ila akili yako ndio inaona swali kama la kipuuzi,kinachotakiwa ni nyinyi munaoelewa majibu ndio mumueleweshe ili aone jinsi gani swali lake la kipuuzi. Sasa unashindwa kumuelewesha mtu unaanza kutukana haipendezi kwa mtu aliyeelimika. Mimi nilikuwa nakushangaa tu sio kwamba nataka uniombe samahani.
 
swali ni la kipuuzi just as much as your response ("Hiyo nchi haieleweki ni yenye kutumia lugha gani"). Do not insult others expecting to be treated differently. If you were trying to be funny, sorry your sense of humor is wanting. Y'all act and behave as though those who can't speak kiswahili the way y'all do will die of a million tick bites on their balls. sorry but that's stupid reasoning. I speak fluent Sheng' and English, and super proud of it. I can't speak Tanzanian Swa even if I tried. Belittling me for that reason will be met by the exact force and contempt it deserves.
 
Back
Top Bottom