Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amenunua ndege kupitia kodi zetu! Sasa hapo tushukuru nini,?! 🤔Ushukuru ndani ya miaka miwili unayo hiyo Bombardier
Na hizo ndege amezikodisha shirika la ATCL, akilipwa pesa anajenga barabaraAmenunua ndege kupitia kodi zetu! Sasa hapo tushukuru nini,?! 🤔
Utaenda USA kwa kutumia bakuli?
We Mwehu kweli mbona yupo ndani na dreamliners zimepatikana kama utani?
Nyumbu hata uwezo wa kufikiria mambo madogo ni kazi
Hapana Mkuu, namba moja ndo kanivuruga akili.Dada yako wa taifa kakuvuruga akili
Bombarded ya kwenda mwanza, nchi hii haitaweza hata kwa bodi za mgangaUshukuru ndani ya miaka miwili unayo hiyo Bombardier
Mbona Mbowe kashindwa kukarabati ufipa kwa kodi zako. Hujiulizi?Amenunua ndege kupitia kodi zetu! Sasa hapo tushukuru nini,?! 🤔
After 15 - 17 hrs nonstop flight, you'll appreciate transit in London, Amsterdam or Dubai. DVT can be a serious problem to some PXNothing stops Qatar,Emirates,ET,ATCL etc to have directs flights from JKIA to USA, Its Just a Route and competition on level of service will determine the winner..
BravoGood news...for a very long time, Ethiopian Airways has been benefiting from EAC's attractive tourism market licha ya kwamba nchi ya Ethiopia ni nchi isiyo na vivutio vingi vya kitalii....sasa ni wakati wa kurudisha matunda hayo EAC...KQ itakuwa ndio biggest beneficiary ya EAC-American air travel...hayo ndio matunda ya kuwa aviation hub ukanda huu
Meza panadol kichwa kiache nyuma.After 15 - 17 hrs nonstop flight, you'll appreciate transit in London, Amsterdam or Dubai. DVT can be a serious problem to some PX
Corn head find your fellow dumb to argue withBombarded ya kwenda mwanza, nchi hii haitaweza hata kwa bodi za mganga
Umepigwa ukweli mkubali yaishe.Corn head find your fellow dumb to argue with
Ngonjera zile zile nyie ndio mnazidi kushusha ile sifa ya JF, waongea mataputapu mmezidi sadly hapa Kenya ndio angalau palikua kidogo pana kaahueni lakini nako tayari vichwa maji mmesheheniHiyo dreamliner haivuki boda maana hata burundi tu haiendi ikienda inakamatwa au hujui twadaiwa 700bil?
Aliekwambieni ile Terrible teen ni yeye.... na Mwenzake Zitto akaongeza kuwa ndege ni used, wakati kitu kibichi kinatengezwa na camera zipo zinaona....Hapana Mkuu, namba moja ndo kanivuruga akili.
[emoji1][emoji1][emoji1] Jf buana!Ngonjera zile zile nyie ndio mnazidi kushusha ile sifa ya JF, waongea mataputapu mmezidi sadly hapa Kenya ndio angalau palikua kidogo pana kaahueni lakini nako tayari vichwa maji mmesheheni