Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Watakupiga marufuku kupiga picha eneo LA kenyaNa mm naomba kujiunga wakati mkirudi toka Moshi kwennda Kajiado hadi Nairobi
nidokeze Malazi na msosi, wasije niacha njiani
pia michango nichangie kwa Dola au Kenya Money
Sent using Jamii Forums mobile app