Tuseme wewe ni mtoto mzuri pia?Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri laini lugha ndiyo inaweka mipaka.
Beauty is in the eye of the beholder.Tuseme wewe ni mtoto mzuri pia?
Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri laini lugha ndiyo inaweka mipaka.
wako busy kupiga waume zao hukoWakenya habari zenu
Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.
Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
Kweli hata ukienda kwa sherehe usishangae kukuta wali mbichii!!!wakenya awajui kabisa kupika, uko nairobi ndio hatari kabisa!
ahahaaaSi manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.
Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majangaNilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri lakini lugha ndiyo inaweka mipaka.
Kule mgombani nyama ikishakua na mafuta na ikichanganywa na ndizi chumvi mbona vinatosha.pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
siku hizi wanajua hata kuweka kitunguu swaumu na tangawizi na mdalasini zamani ni mafuta nyanya kitunguu finitoKule mgombani nyama ikishakua na mafuta na ikichanganywa na ndizi chumvi mbona vinatosha.
kidheri ndo nini mamyIla ni wataalamu wa kupika kidheri.
ni mahindi mabichi na maharage?
Nilikosea kumbe ni githeri.