Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 992
Eeh my dear Tuhakikishe mabinti zetu wanapiga kitabu haswa ili tu wajitegemee na wasiegemee kila kitu kwa mwanaume, kama ma bibi zetuahaaaa kumbe ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh my dear Tuhakikishe mabinti zetu wanapiga kitabu haswa ili tu wajitegemee na wasiegemee kila kitu kwa mwanaume, kama ma bibi zetuahaaaa kumbe ?
hata niwe na hela kiasi gani siwezi kufanya ndoa yangu iwe uwanja wa mapambano mkuuEeh my dear Tuhakikishe mabinti zetu wanapiga kitabu haswa ili tu wajitegemee na wasiegemee kila kitu kwa mwanaume, kama ma bibi zetu
Hiyo combination mkuu ni kama ndoa ya Simba na Yanga.kuna mjaluo hapa jirani ni maafa mume mkikuyu mke mjaluo sielewagi hii ni ndoa au ni uwanja wa vita?
yaani ni mpambano kila siku halafu wahuni balaa mwanamke analiwa hadi tigo na hawaraHiyo combination mkuu ni kama ndoa ya Simba na Yanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]Si manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.
Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
How poor are you?Wakenya habari zenu
Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.
Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
wapare wanajua sana kupika sema tu ni wabahili.kula vizuri kwao watafute sikukuu siku zingine ni picha tu za samaki zinatembeaHata wapare wajifunze kupika, nimeishi na wapare yaani da! Anakupikia bamia na nyanya chungu nzima bila kuikata then hapo inachanganywa na mboga ya majani, akikupikia samaki sasa mchuzi wake kama maji yaliyochafuka kwa kubadilika rangi. wapare ni majanga kwa kweli.
Mhh mkuu hayo umejuaje?yaani ni mpambano kila siku halafu wahuni balaa mwanamke analiwa hadi tigo na hawara
Sio mokimo?![]()
Nilikosea kumbe ni githeri.
Hii ni Githeri... sasa kuna Mukimo hiyo nayo ni tamu balaani mahindi mabichi na maharage?
Wewe nae ni mbulula mchagga hajawahi kuwa na historia ya ushamba Wa aina yoyote ndugu suala la kupika kwa wachagga hatujawahi kuwa na sifa mbaya katika maswala ya mapishipande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
siku moja tulikuwa mimi yeye na shosti wake wanakunywa pombe akawa amelewa sasa akawa anamueleza huyo shosti wake habari za huyo hawara wake akamwambia usimuone flani anajifanya mlokole ila kitandani anapenda tigo balaa kidogo nizimie shoga yanguMhh mkuu hayo umejuaje?
wewe ndo unaejua hivoWewe nae ni mbulula mchagga hajawahi kuwa na historia ya ushamba Wa aina yoyote ndugu suala la kupika kwa wachagga hatujawahi kuwa na sifa mbaya katika maswala ya mapishi
Mjini kuna mambo.siku moja tulikuwa mimi yeye na shosti wake wanakunywa pombe akawa amelewa sasa akawa anamueleza huyo shosti wake habari za huyo hawara wake akamwambia usimuone flani anajifanya mlokole ila kitandani anapenda tigo balaa kidogo nizimie shoga yangu
Iv ujue wabongo tunajiongeza kwa vitu ving sana mpk vngine kwa wagen wengine vnawakera yan... Ila kwa mengine mengine kam ayo hatujaaambo... Barabaraa yan!Hahaha,nimecheka sana,kwamba totozi laini hadi mifupa
kuna mambo kuna mambo! nadhani ndo maana hata mume wake anamdharau .mwaname akishakufanya nyuma atakuona tena mtu kweli halafu hata ndoa hawajafunga .anamwambiaga kabisa sikutaki we malaya ondoka .wanapigana sio kidogoMjini kuna mambo.