Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
- Thread starter
- #101
Kinacholeta shida si aina ya chakula. Tatizo mapishi yani hawajui kupika mimi huko bondo walipika Samaki na ndizi nafikiri ni chakula cha asili yao lakini tatizo hawajui mapishi chakula kikawa kitamuVery funny thread.
Ukija Kenya, tathmini ni sehemu gani unatembelea. Itisha chakula asilia cha mji huo. Kwa mfano ukiwa kisumu ama sehemu za nyanza, sima na samaki utaenjoy. Usiitishe pilau eldoret, hiyo nenda ukaagize Mombasa au Nairobi.
Vyakula vya Kenya ni aina nyingi. Tuseme nikama wanaspecialise hivi. Western na kuku, utapenda.Mimi kwa mfano nikiwa nyeri nitakula mokimo na mbuzi choma.
Samaki Wa kipakwa na waachia wa-amu.