Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
- Thread starter
- #81
Hawajui kupika kabisa aisee. Ilitubidi kuingia town kuangalia utaratibu wa kupata snacks kwene supermarketHahahahahahaha lol! ulikula chakula gani Mkuu? Bokoboko? Ila kusema kweli vyakula vyetu Wabongo bomba sana na wanawake wa kibongo kukkangiza mahanjumati wanaweza sana. Umeshawahi kuona misosi ya kisomali? Ina mafuta ya kuchuruzika nina marafiki zangu wa kutoka huko huwa nawatolea nje kwenye vyakula vyao.