Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

Hahahahahahaha lol! ulikula chakula gani Mkuu? Bokoboko? Ila kusema kweli vyakula vyetu Wabongo bomba sana na wanawake wa kibongo kukkangiza mahanjumati wanaweza sana. Umeshawahi kuona misosi ya kisomali? Ina mafuta ya kuchuruzika nina marafiki zangu wa kutoka huko huwa nawatolea nje kwenye vyakula vyao.
Hawajui kupika kabisa aisee. Ilitubidi kuingia town kuangalia utaratibu wa kupata snacks kwene supermarket
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi humu hakuna mkenya atueleze kiunaga unaga tupate kuelewa
 
Mkuu hujasema lakini ulikula chakula gani lol! hahahahaha au hujui ulikula nini Mkuu?

Hawajui kupika kabisa aisee. Ilitubidi kuingia town kuangalia utaratibu wa kupata snacks kwene supermarket
 
Mkuu hujasema lakini ulikula chakula gani lol! hahahahaha au hujui ulikula nini Mkuu?
Ndizi zimepikwa vibaya sana wamechanganya sijui na Samaki harufu mbaya chakula kinanuka nilipiga kijiko kimoja tu nikasogea pembeni. Wenzangu wakajikaza aaah wapi wakashindwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....lol! labda samaki hawakuoshwa vizuri au walikuwa wameharibika.

Ndizi zimepikwa vibaya sana wamechanganya sijui na Samaki harufu mbaya chakula kinanuka nilipiga kijiko kimoja tu nikasogea pembeni. Wenzangu wakajikaza aaah wapi wakashindwa
 
ila wanawake wakenya ni wakatili sana sijui kama kuna mwanaume wa kenya anaenjoy ndoa yake .ni wababe sana hawana adabu .jeuri ,hawana heshima hata tone
True kuna plot nliwah kuish Nairobi
Jamaa alikua anafka kwa
Nyumba 6jion mke anaingia 9 night
Lakin jamaa alikua hawez kuongea
Alikua akijarbu kuuliza ulikua wap

N.kibao anapokea mwiko huu
Hapa kaulamba wa mgongo

Aiseeeee mwanamke wa kenya
Heshima n kama waliitupa shimo
La taka
 
Bora kidogo kwa waluo ila wakikuyu balaa mwanamke kama mwanaume vile mnasimama nae na humwambii Kitu .wanapigwa sana mpaka wanakimbia nyumba
Mkuu hawana tofaut tena mjaluo
Ndo nuks zaid mkikuyu anaweza
Kukuskiliza ukaongea lakin
Co mjaluo aiseee

Hayaa makabila mawili n
Moto wa kuotea mbali
 
Hii ni Githeri... sasa kuna Mukimo hiyo nayo ni tamu balaa
Mokimo wanachanya waruu yan (viaz)
Na mahind af wanasonga kama ugali
Ila haiwi ngumu na inakua green
Kuna baadh ya vtu vingne wanachanganya
 
Kuna chakula kimoja wanakiita MOKIMO ndo ovyoo kabsa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acha tu tunaopga business kenya
N shida sana kwny kula
 
Very funny thread.
Ukija Kenya, tathmini ni sehemu gani unatembelea. Itisha chakula asilia cha mji huo. Kwa mfano ukiwa kisumu ama sehemu za nyanza, sima na samaki utaenjoy. Usiitishe pilau eldoret, hiyo nenda ukaagize Mombasa au Nairobi.
Vyakula vya Kenya ni aina nyingi. Tuseme nikama wanaspecialise hivi. Western na kuku, utapenda.Mimi kwa mfano nikiwa nyeri nitakula mokimo na mbuzi choma.
Samaki Wa kipakwa na waachia wa-amu.
 
pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
Rekebisha kauli, wanajua kupika vyakula vinavyopatikana huko, kitimoto, mchemsho ndizi etc. Mambo ya pilau na chai za iliki na mdalasini tumewaachia watu wa Pwani kwani ndio wenye uwezo wa kupika kuanzia asubuhi mpaka jioni.
 
Si manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.

Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo Umeua na kuzika kabisa
 
Si manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.

Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
😀😀😀😀😀😀😛
 
yaani ni mpambano kila siku halafu wahuni balaa mwanamke analiwa hadi tigo na hawara

Mna umbea sana watanzania, hadi kero!...sipendi kabisa tabia hii,hili tu ndilo tatizo lenyu kubwa!
Hamna kinachoudhi kama mwanamke mmbea...disgusting!
 
Back
Top Bottom