Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

Si manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.

Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]
 
Wakenya habari zenu

Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.

Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
How poor are you?
 
Hata wapare wajifunze kupika, nimeishi na wapare yaani da! Anakupikia bamia na nyanya chungu nzima bila kuikata then hapo inachanganywa na mboga ya majani, akikupikia samaki sasa mchuzi wake kama maji yaliyochafuka kwa kubadilika rangi. wapare ni majanga kwa kweli.
 
tukisema Tanzaniais home to everyone of color and background kuna manyangau wanakataa.
Tanznania kuzuri bana wewe acha tu
 
Hata wapare wajifunze kupika, nimeishi na wapare yaani da! Anakupikia bamia na nyanya chungu nzima bila kuikata then hapo inachanganywa na mboga ya majani, akikupikia samaki sasa mchuzi wake kama maji yaliyochafuka kwa kubadilika rangi. wapare ni majanga kwa kweli.
wapare wanajua sana kupika sema tu ni wabahili.kula vizuri kwao watafute sikukuu siku zingine ni picha tu za samaki zinatembea
 
vegetables-githeri-wikipedia-Shiku-Ngigi-4x3.jpg

Nilikosea kumbe ni githeri.
Sio mokimo?
 
pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
Wewe nae ni mbulula mchagga hajawahi kuwa na historia ya ushamba Wa aina yoyote ndugu suala la kupika kwa wachagga hatujawahi kuwa na sifa mbaya katika maswala ya mapishi
 
Mhh mkuu hayo umejuaje?
siku moja tulikuwa mimi yeye na shosti wake wanakunywa pombe akawa amelewa sasa akawa anamueleza huyo shosti wake habari za huyo hawara wake akamwambia usimuone flani anajifanya mlokole ila kitandani anapenda tigo balaa kidogo nizimie shoga yangu
 
Mjini kuna mambo.
 
Hahaha,nimecheka sana,kwamba totozi laini hadi mifupa
Iv ujue wabongo tunajiongeza kwa vitu ving sana mpk vngine kwa wagen wengine vnawakera yan... Ila kwa mengine mengine kam ayo hatujaaambo... Barabaraa yan!
 
Mjini kuna mambo.
kuna mambo kuna mambo! nadhani ndo maana hata mume wake anamdharau .mwaname akishakufanya nyuma atakuona tena mtu kweli halafu hata ndoa hawajafunga .anamwambiaga kabisa sikutaki we malaya ondoka .wanapigana sio kidogo
 
Wakenya hawajui kupika chakula kizuri maana wake zao ni mabo dia , hawana muda na waume zao kula vizuri, as they don't deserve. Hapa TZ hakuna mboga sukuma wiki, hatuwezi kula.
 
Back
Top Bottom