TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana.
View attachment 2498580
Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao, lakini baada ya kuonekana ameanza kukusanya mapato na kukopa nje kutokana na uchumi wa dunia kuyumba, sasa wamebadirika na wanasimama na mzee RAO!.
Hata hivyo kupitia account rasmi ya rais William Ruto wananchi hao wamempiga knock out kupitia replies kwenye tweet yake, huku wakimwambia waziwazi kuwa rais amekuwa Zakayo mtoza ushuru.