Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Mwaka 1987 timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars kulikuwa kuna Mchenzaji anaitwa Otieno Mboo, Walifanikiwa kufika fainali ila huyo Mchenzaji aliumia mechi ya Nusu fainali, Magazeti ya kenya yaliandika vichwa vya habari" WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO" Rais akazuia magazeti yote na kusema warekebishe hiyo sentensi... Walibadiisha na kesho yake kuandika "WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE siku ya mechi Wanawake walifurika Uwanjani
😂🤣🤦🤪🏃🏃
😂🤣🤦🤪🏃🏃