Nani alikuwa anataka kumuua Lissu?Huu mpango wa kutaka kumuua Ruto, ni nani anayewapa ujasiri mawaziri hao kutaka kumuua Ruto ambaye kwa kipindi chote amekuwa muaminifu kwa mtukufu rais baba.
Mbona mambo yamegeuka? Mtu aliyefanikisha malengo ya JUBILEE, lakini sasa anaoneka hafai.
Uhuru ameahidi kuleta kuleta umoja wa wa Kenya. Hilo ni jambo jema. Pia ni moyo mzuri. Ila kabla ya kuanza na Kenya, aanze na kujenga umoja ndani ya JUBILEE ndiyo aendelee kuhubiri umoja wa kitaifa. Hili la mgawanyiko ndani ya chama mpaka kufikia hatua ya kupanga mauaji si jambo la kuliangalia tu. Mwenyekiti wa chama anapaswa kufanya jambo ili kutuliza na kudhibiti hali.
Kila kinachofanyika Kenya ni siasa inachezwa lakini sijui nani anayetaka kumuua naiba rais na sijui kama hizi stori zote ni ukweli ama gumzo.Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ruto alijitoa kwa dhati kuhakikisha Uhuru anaingia ikulu. Lakini baadaye mambo yanabadilika, anaonekana hafai kitu tena.
Ndiyo maana kuna usemi unaosema... wabaya watu.
Kila kinachofanyika Kenya ni siasa inachezwa lakini sijui nani anayetaka kumuua naiba rais na sijui kama hizi stori zote ni ukweli ama gumzo.
nakubaliana na wewe unaposema ya kwamba uhuru hangeiingia ikulu kama ruto hangekuwa naibu wake na hatakama mimi si shabiki wa ruto siasa za kuuana hazina mahali karne hii tunayoishi.
Ndio lakini ukisoma gazeti la juzi utaona ya kwamba wachunguzi wamepata ya kwamba hizi stori zote zimeundwa na kambi ya naibu rais kumwonyesha kama anaonewa kwa sababu yeye ni mtoto wa maskini na hawa makochino hawamtaki aiingie mamlakani.Kuna watu wamehojiwa, tena wakubwa sana katika serikali ya sasa. mawaziri.
Ndio lakini ukisoma gazeti la juzi utaona ya kwamba wachunguzi wamepata ya kwamba hizi stori zote zimeundwa na kambi ya naibu rais kumwonyesha kama anaonewa kwa sababu yeye ni mtoto wa maskini na hawa makochino hawamtaki aiingie mamlakani.
Hatakama ni ukweli ama uwongo hii ni serious sana na serikali inafaa kufanya kila kitu ihakikishe ya kwamba wale wanaomtakia ruto mabaya wapelekwe kotini na washtakiwe na wafungwe.
Sisi wakenya tumeamua tuchague njia ya amani kama nyinyi.
Eti tunataka kumuua? MIMI NA NANI?Mnataka kumuua halafu msingizie ni mungu kamchukua!!?
Mnamuogopea nini mkalenjini?Eti tunataka kumuua? MIMI NA NANI?
Msiniingize kwa drama zenu na mapolitishians.Lemme live my useless life to the fullest before I am called home.I don't care about anything that happens outside my head and heart.
Wacheni kusema 'M' semeni 'WA'.Mnamuogopea nini mkalenjini?