Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amefanikiwa kusajili jina lake la utani 'Riggy G' kama jina la apana ya biashara, yaani 'trademark' na hivyo basi ni marufuku kwa yeyote kutumia jina hilo bila ya idhini.
Kiongozi huyo alituma maombi ya kusajili Right G mnamo Novemba mwaka 2022 na sasa mamlaka husika imelisajili jina hilo.
Rigathi Gachagua alipewa jina hilo la utani na dada aitwaye Ivy Chelimo kutokana na ugumu wa watu wengi kulitamka jina la Naibu Rais.