Wakenya kwa uwizi lol!

Imekufurahisha nini hiyo picha ? hapa bongo hakuna wizi?
 
Huyo mzee na waliompiga picha huyo binti ni WAPUMBAVU kabisa..!

Mtu akiiba afikishwe kwenye mikono ya sheria na sio UPUUZI waliofanya.

"Nilisema, Yafaa siku ziseme, Na wingi wa miaka ufundishe hekima. Sio WAKUU walio wenye akili, Wala sio WAZEE watambuao hukumu..!" - Ayubu 32:7,9
 
Huyu ni mkenya anakuja kuibia wageni kwenye maonesho ya kimataifa ya vyakula halafu sifa mbaya ibaki kwa watanzania huu ni hujuma ya wakenya dhidi ya nchi yetu
 
Back in 2001 Nairobi niliibiwa na police wa Kenya sitasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…