Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi wengi wanatuibia wanatoka Kenya na ni jambo la hatari kutufanyia hujuma ya kibiasharaImekufurahisha nini hiyo picha ? hapa bongo hakuna wizi?
Huyu ni mkenya anakuja kuibia wageni kwenye maonesho ya kimataifa ya vyakula halafu sifa mbaya ibaki kwa watanzania huu ni hujuma ya wakenya dhidi ya nchi yetuHuyo mzee na waliompiga picha huyo binti ni WAPUMBAVU kabisa..!
Mtu akiiba afikishwe kwenye mikono ya sheria na sio UPUUZI waliofanya.
"Nilisema, Yafaa siku ziseme, Na wingi wa miaka ufundishe hekima. Sio WAKUU walio wenye akili, Wala sio WAZEE watambuao hukumu..!" - Ayubu 32:7,9
Wakenya wamezidiImekufurahisha nini hiyo picha ? hapa bongo hakuna wizi?
HUO ULIKUWA NI UDHALILISHAJI TUUWezi wengi wanatuibia wanatoka Kenya na ni jambo la hatari kutufanyia hujuma ya kibiashara