Hehehe! Jamaa kaachia apapaswe mapu... kabisa.
Japo anafaa kuwa makini maana na humo kwenye wanaompapasa kunao mabwabwa, huwa yanapata raha sana yakiachiwa hivyo. Hili kundi la Wasafi linazidi kupinda kila uchao, sielewi ni mikakati ya kutafuta umaarufu duniani au nini haswa.