Wakenya,kwanini mmefanya hivi kwa kijana wetu?

Wakenya,kwanini mmefanya hivi kwa kijana wetu?

Hehehe! Jamaa kaachia apapaswe mapu... kabisa.
Japo anafaa kuwa makini maana na humo kwenye wanaompapasa kunao mabwabwa, huwa yanapata raha sana yakiachiwa hivyo. Hili kundi la Wasafi linazidi kupinda kila uchao, sielewi ni mikakati ya kutafuta umaarufu duniani au nini haswa.
 
Hao mademu wa Kenya ni noma,harmonize anawajua vizuri ashawahi kupiga bao stejini
 
Back
Top Bottom