Wakenya.... Kwanini mna lafudhi mbaya sana mazee??

We unaongea poa kabisa mkuu
 
Chief engineer njoo nimemkamata mmoja huyu hapa[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Kwendraa huko! Ati watz ni weusi hadi wakibeba mkid anasinzia akijua teyari ishakuwa dark night...!! Ahahaha!
 
Kenya nchi iliyo kosa muelekeo wa kujitambua, mpaka mkijitambua ndio mtaelewa matatizo ya kutokuwa na lugha moja yana changia na mengine zaidi. Kikuyu wanatetea kikikuyu chao, kalenjin hivyo hivyo, Luo nao pia, pwani hawataki mchezo. Nchi zote za Ulaya na Marekani,China, Russia nk.... kila moja ina lugha yake ambayo wote wanaitumia na kuelewana. Lugha moja Imesaidia kuwaunganisha waTanzania ambapo kuna makabila 120, na kila kabila lina lugha yake ya asili, kiswahili kimetumika kama chombo cha kuunganisha makabila yote hayo na kupunguza ule
u-mimi ktk nchi. Hata kwenye nyanja muhimu kama usafiri wa anga wa kimataifa, wanatumia kingereza kuweza kuelewana nini kinafanyika. Fikiria jeshi au polisi kila mtu ana lugha yake, kungekalika hapo? Mpaka wakenya wakijielewa kwamba ni lugha gani wanaipenda zaidi, ndio wataitumia kutatua matatizo yao ya kijamii.
 
Kwendraa huko! Ati watz ni weusi hadi wakibeba mkid anasinzia akijua teyari ishakuwa dark night...!! Ahahaha!
Nawasiwasi na weledi wako ngoja nijaribu kusoma ulicho andika labda nitaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…