Wakenya malizeni yenu wenyewe, msianze kutafuta mchawi. TZ tunahangaika na yetu

Wakenya malizeni yenu wenyewe, msianze kutafuta mchawi. TZ tunahangaika na yetu

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,931
Reaction score
987
Huo ni ujumbe muhimu sana kwenu jioni hii. TZ haihusiki na figisu zenu, ibianeni, piganeni fanyeni yote mmalizane salama, msitafute mchawi. sisi na yetu na nyie na yenu. kila mmoja na lwake
 
umeskia mtu yeyote aliyetaja jina la TZ hata mara moja ktk shughuli hizo zote za upigaji kura?. IEBC, NASA,Jubilee, John Kerry, EU and other observers...have you heard?..hamna anayejishigulisha na kanchi kenu kwa hiyo sioni lazma ya wewe kutuambia mambo ambayo hakuna anayefikiri hata dakika moja..kama ni wachawi wapo kule Kitui..mambo sijui ya kutafta mchawi bongo, sijui tz this tz that hakuna mkenya hata mmoja anayefikiri mambo hayo....TZ is very irrelevant in Kenyan elections...as u rightly put it, ours is ours and yours is yours...so we are not interested in anything from TZ at this point...we can manage...besides, tukiiba inakuhusu nini wewe mbongo? wengi wenu mna ugonjwa wa kuamini wakenya kila wanapoamka wana fikira za tz...sorry to burst ur bubble, Kenya doesnt give a shit abt some backward country that we so happen to share a border with...we may share a border but we dont need help or advice in this election or in anything for that matter..we share a border with S. Sudan and UG...have u seen us asking Museveni for anything?....we are managing it well thus far...thank you
 
Na wasijaribu kusema eti Magufuli na Raila ni marafiki ndio wanajeshi wetu wahusike moja kwa moja kilamtu abebe mzigo wake mwenyewe,sisi tulikubali yakaisha na wao Raila akubali yaishe ikulu ni Levo nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wasijaribu kusema eti Magufuli na Raila ni marafiki ndio wanajeshi wetu wahusike moja kwa moja kilamtu abebe mzigo wake mwenyewe,sisi tulikubali yakaisha na wao Raila akubali yaishe ikulu ni Levo nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magu might be Odinga's friend...but from what I know, he is not foolish...he knows that he cannot get involved in affairs that dont involve him in any way...so ur just pointing out to the inevitable...kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe...besides, if i may ask, what can magu do? nothing...dont exaggerate Tanzania's influence in Kenya...there is absolutely no influence that ur country has within East Africa's most advanced economy....so, friend or not, Magu will not do anything even if odinga sheds blood from his eyes...influence ya magufuli inaishia pale Namanga..
 
Me sioni kuhusika kwa Tz kwa vyovyote vile na chaguzi ya Kenya...Kenya ni majirani zaidi tunajifunza tu wanayofanya lakini hakuna kingine zaidi,atakaechaguliwa atakua Raisi wa Jamhuri ya watu wa Kenya na sio east Africa! !Michongo binafsi au mazoea ya kuzoeana humu jf yasivuke mipaka

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom