Wakenya mchagueni Raila Odinga kwa maendeleo ya kweli

Wakenya mchagueni Raila Odinga kwa maendeleo ya kweli

Jamaa mnafiki sana hatakiwi kabisa kukabidhiwa nchi. Ukwel chini ya Jubilee wamefanya mengi mno nadhan kenyans wanahitaji kuwapa muda zaidi akina Uhuru wakamilishe kazi zao. Huyu Jaluo astaafu tu hana lolote
 
Mimi naona kenyans should ask Barack Obama to come to compete for election. The two main candidate lack convictions, serious ideas to move the country forwards and ny sort of inspiration.

Obama will win by Landslide and move the country forward in double quick time. Instead of these two hustles.
 
basi siasa zao zina manufaa,maan bajeti yao hawategemei hela ya mzungu,...yaani kusaini mikataba yakuibia nhi yako unasema ni utaifa?,kweli tuko tofauti
Kenya budget yenu haitegemei hela ya mzungu... lol... a large percent of ur budget ina end kwa Uhuru and Co. Bora hata ya tz
 
Back
Top Bottom