IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Hivi inakuwaje nchi inayojivuna kuwa ina GDP kubwa kuliko zote hapa EAC inatutia aibu namna hii?
Yani watu milini 2 kasoro mfe njaa alafu kila siku mnajisifia ujinga wa GDP na hao viongozi wenu kweli? Kwanini msifanye hata maandamano ya kuchukua ardhi waliyohodhi mabwanyeye wa hapo Nairobi ili raia mpate sehemu za kulima chakula?
Inakuwaje watu mnakosa hata sehemu za kulima sukuma wiki alafu kila siku mnasifia Gdp ya kwenye makaratasi?
Sasa mlivyokuwa mnataka kuzuia mahindi toka tz na uganda mlitegemea mtakula mawe!?