Wakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa

Wakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Hivi inakuwaje nchi inayojivuna kuwa ina GDP kubwa kuliko zote hapa EAC inatutia aibu namna hii?

Yani watu milini 2 kasoro mfe njaa alafu kila siku mnajisifia ujinga wa GDP na hao viongozi wenu kweli? Kwanini msifanye hata maandamano ya kuchukua ardhi waliyohodhi mabwanyeye wa hapo Nairobi ili raia mpate sehemu za kulima chakula?

Inakuwaje watu mnakosa hata sehemu za kulima sukuma wiki alafu kila siku mnasifia Gdp ya kwenye makaratasi?

Sasa mlivyokuwa mnataka kuzuia mahindi toka tz na uganda mlitegemea mtakula mawe!?

20210317_094952.jpg
 
Believe me or not.

Hiyo idadi imechakachuliwa.
Ni wengi zaidi ya hiyo idadi iliyo andikwa hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona wanavyojifaragua humu utafikiri wameshiba kumbe wana njaa balaa
 
Hivi inakuwaje nchi inayojivuna kuwa ina GDP kubwa kuliko zote hapa EAC inatutia aibu namna hii?

Yani watu milini 2 kasoro mfe njaa alafu kila siku mnajisifia ujinga wa GDP na hao viongozi wenu kweli? Kwanini msifanye hata maandamano ya kuchukua ardhi waliyohodhi mabwanyeye wa hapo Nairobi ili raia mpate sehemu za kulima chakula?

Inakuwaje watu mnakosa hata sehemu za kulima sukuma wiki alafu kila siku mnasifia Gdp ya kwenye makaratasi?

Sasa mlivyokuwa mnataka kuzuia mahindi toka tz na uganda mlitegemea mtakula mawe!?

View attachment 1727696
Alaf hawataki tuwape mahindi
 
Alaf hawataki tuwape mahindi

Wakenya wanapenda kujimbwafai lakini hakuna chochote walicho nacho zaidi ya kuwashukuru mabeberu walivo leta maendeleo na kizungu chao.wasomali ndio wanawatawala wakenya sasa.
Wanachukua matunda uganda,tanzania wanapeleka ulaya wanakwambia wanalima wao,madini,mazao.

Wanajua kujisifia sana ndo maana wanaona EAC tuungane waje kununua ardhi watoke kwao ili wamiliki ardhi.
 
inashangaza sana kuona vibaraka wakuu wa mabeberu afrika mashariki kila mwaka wanakufa na njaa na mabwana zao wapo, jiongezeni nyang'au mzungu anawatumieni tu kwa manufaa yake.
 
Hivi inakuwaje nchi inayojivuna kuwa ina GDP kubwa kuliko zote hapa EAC inatutia aibu namna hii?

Yani watu milini 2 kasoro mfe njaa alafu kila siku mnajisifia ujinga wa GDP na hao viongozi wenu kweli? Kwanini msifanye hata maandamano ya kuchukua ardhi waliyohodhi mabwanyeye wa hapo Nairobi ili raia mpate sehemu za kulima chakula?

Inakuwaje watu mnakosa hata sehemu za kulima sukuma wiki alafu kila siku mnasifia Gdp ya kwenye makaratasi?

Sasa mlivyokuwa mnataka kuzuia mahindi toka tz na uganda mlitegemea mtakula mawe!?

View attachment 1727696
Mahindi ya mexico hayajafika bado
 
Alafu space kubwa ya huo ukurasa wa gazeti lao, unahoji Rais wa Tz alipo, hao watakaokufa na njaa, wameminywa hapo wasionekane vizuri, alafu, nye nye nyee hatufuatilii ya Tz, while we are trending in their social medias. Stupid
 
Back
Top Bottom